Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10

Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,934
Reaction score
132,473
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.
Rejea za mtoa mada kumhusu
Humphrey Polepole

  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

  4. View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
  5. Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
  6. GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
  7. GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
  8. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
  9. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
  10. GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
  11. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
 
hao wajumbe wa rasimu ya warioba wanayezungumzia bmk kila mara tumeshawachoka
 
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.

Mkuu Pasco
Naona unaanza kupona ugonjwa wako taratibu,utaelewa sana tu Mwaka huu.
Na utaelewa zaidi Mwakan UKAWA wakimsimisha Judge Joseph Sinde Warioba kukamatia hii nchi,utaelewa tu.
 
Last edited by a moderator:
Shida ya maCCM ni kufikiri kwa makalio.. Unashangaa mpaka waimba kwaya kama Komba wanapata guts za kuichambua rasimu ya mzee Warioba! pambaff sana hii mijitu
 
Mkuu Pasco
Naona unaanza kupona ugonjwa wako taratibu,utaelewa sana tu Mwaka huu.
Na utaelewa zaidi Mwakan UKAWA wakimsimisha Judge Joseph Sinde Warioba kukamatia hii nchi,utaelewa tu.

Kuongozwa na mlevi wa gongo!!'''' over my dead body.
Hizo no ndoto tu, mkiamka mtauona na kuusujudu ukweli..... START PARKING YOUR BAGS
 
Last edited by a moderator:
Uongo dhambi humprey, katika kujenga hoja, uwez mlinganisha na mwingulu, Nape, kigwangala wala Gollira

Akiwa anaongea tu unaweza kuona kitu fulani cha thamani ndani yake.

Wakati anachambua hoja ana ile smartness on words kama Mbatia.
 
sijaelewa mantiki ya wewe Pasco kuanzisha mada hii ambayo haieleweke dhumuni lake ikiwa umeshidwa kuandika kinachoendelea kwa tv
 
Last edited by a moderator:
Pasco mzee wa kuangalia watu walivyovaaa,walivyoumbika,sauti zao....na sio hoja wanazoongea...ni janga kubwa sana kuendelea kuwa na wanahabari wa Calliber hii...No wonder tanzania sekta ya Journalism hailisaidii taifa kuendelea...Poor Mayalla
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea kama Nyerere!.

Japo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere hayupo nasi!, lakini Nyerere bado yupo na sasa anaongea kupitia Humprey Polepole!.

Msikilize!.

Pasco.

Yeye, wewe, mimi ni "kuku" tu... tushaambiwa dua zetu hazitampata "mwewe" Sitta... tutulie ajinyakulie "vifaranga" wetu hadi ashibe...
 
Back
Top Bottom