Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira...
Mwaka 2011 baada ya Wananchi wa Tunisia kushika bango aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Ben Ali atoke Madarakani jeshi liliamua kumpakia kwenye ndege kumpeleka Saudi Arabia.
Akiwa njiani Rais Ben...
Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi...
Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi
Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo.
Sasa tufanye...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Taletale, amesema kuwa endapo wakazi wa Bwawani, Kata ya Mkambarani, watampa...
Ni kapteni Tesha!
Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.
Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.
Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe...
ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo...
LISSU MAHAKAMANI ⚖️
Lissu: Kwa ufahamu wako kwanini unasema maneno niliyoyasema siku ile ya kuita waandishi wa habari, yalikuwa ni kosa la uhaini? 🤔
ACP Bagyemu: Ni kosa.
Lissu: Hata wewe kuita...
Inasikikitisha sana nchi hii tumekosa uhuru ndani ya Tanganyika yetu, mtu unatembea barabarani ukiwa na mashaka ya kutekwa, hata unapolala pia ni mashaka tupu ujui kama jua la kesho utaliona...
Kinachovutia Umma kuandana kwa Dunia ya sasa sio Ajenda kuu bali Ajenda mahususi. Na kwa sasa hazipo hivyo serikali iondoe hofu.
Sasa maandamano hayabebi ajenda za kisiasa. Watu hawawezi...
Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu
Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu...
1. Utekaji na Uuaji
Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi?
Mnaogopa nini hadi kufikia...
Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano.
1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano.
A. Kuna camera
B. Damu...
Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji.
Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake...
Baada ya yule aliyejitambulisha kama ‘kapteni’ wa JWTZ kuja na ile video yake, kuna watu humu walikuwa na kila aina za taarifa.
Mmoja kati hao watu alikuwa ni mwanaJF mkongwe kwa jina la Msanii...
Humphrey Polepole
Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe.
Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena.
Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu...
Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu.
Polepole anaipenda Tanzania.
Polepole anaipigania Tanzania.
Polepole sio mwizi.
Polepole sio mroho wa madaraka...
Ndani ya muda mfupi wa miaka takribani 4, tumewapoteza Polepole na Magufuli kama viongozi wazalendo na wapiganaji hodari wa taifa hili la Tanzania.
Lakini nataka kujadili zaidi kuhusu mzalendo...