Ndugu Polepole, punguza Majivuno! Duniani tunapita

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,800
Reaction score
1,211
Humphrey Polepole

Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe.

Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena.

Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu ukufikie kwasababu najua upo humu unafuatilia kila linalojadiliwa.

Barua yako ya leo kuhusu andiko lilosambaa katika mitandao ya kijamii ambalo amelikana Katibu mkuu wako na wewe kuandika Barua ili KULIKANA ZAIDI zimejaa vitisho na MAJIVUNO ni tamko ambaolo utafikiri limeandikwa na Malaika Mikaeli kwenda kwa wanadamu akimkumbusha maulana kwanini hajawapeleka kuzimu watu waliompinga Yesu Kristu hii ni uonevu kwa wenye imani tofauti kaka yangu!!!!!!!!!!!!

Kaka/Baba yangu Hamphrey polepole Moto utakao kuchoma wewe huko Tunakoita Jehanamu naamini utakua mkali kuliko ambao utamchoma mtu yeyote ambaye naweza kufikiri mimi

Polepole Mungu alikupa kipaji, Mungu alikuleta duniani kwa makusudi maaalum, Umenusurika ajali kadhaa kwasababu bado hujatimiza kusudio la mwenyezi Mungu kukuleta wewe duniani,

Pole pole wewe una Utu, wewe ni mttetezi wa wanyonge kuliko wanachama wengi wa upinzani tunaowajua, pole pole una akili za za ma genius wengi sana ila kwasasa umebadilika sana kwa vitu unavyofanya mpaka mwanangu anakushangaa. Uliposema kuhusu wito wa Bashiru kwa membe ni wa kawaida sijuimimi mwanangu alinihoji nikakosa Jibu, hivi Baba/kaka ulikuwa unawaza unawapa maelezo watu wa aina gani?

Jitafakari kaka/Baba yangu Dunia inapita haya maisha ya dunia ni ya mpito na Maisha yetu ya Milele ni ya Mbinguni! tuliiishe neno ndugu yangu! Mungu yupo.

Humphrey Polepole mwanaharakati jitafutie siku moja kaa tafakari maisha yako kama yapo sawa nenda kampe Mungu sadaka ila kama utaona kuna mahali umeegemea kidunia zaidi jirekebishe.

Wana JamiiForums, hii ni Dunia wote Tupo Njiani tunapita, Kuna maisha zaidi ya hapa kila uchao tumshukuru Mwenyezi Mungu,

Ambao msio amini uwepo wa Mungu naombeni samahani sana tena sana. endeleeni na Imani yenu ila mimi kwa NILIYO YAONIA DADIRIKI KUSEMA . MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO

MUNGU YUPO LEO NA KESHO NA JANA NA NAMPIGANIA KILA MWENYE HAKI TUKESHE TUKISALI
 
Dah hii nchi dada yangu ukiifuatilia sanaa unaweza ukawa mtu wa kulia kila siku coz kumejaa watu wanao pindisha ukweli,wanafki na wakujipendekeza...

Nakumbukka mwaka2013 wakati nakuja dar es salaam nilimuaga baba nikamwambia nakwendar dar masomoni ila lazima nikutane na POLE POLE japo nichote busara zake na utetezi wake wa wananchi umetukuka Sanaa kwa wakati ule nilikua namkubali sanaa...

Kwakweli sikubahatika kuonana naye coz maswala ya masomo yalikua yananibana sanaa.. na mawazo yakapotea hali ya uchumi haikua sawa sawa...

Lakini POLEPOLEY wa sasa ananitia hasira sanaa ni mtu mnafki sanaa hajali watu yeye ilimradi mkono katia kinywani haoni watu tunavyo teseka ndani ya nchi yetu kiukweli namchukia huyo baba kuliko ata JPM.. huyo baba ni mchumia tumbo fact kaweka kwenye mkoba...
 
Kwa majivuno makubwa aliwahi kuwaita watumishi wa uma virusi hasa wenye mtazamo tofauti na ccm akasema wanapaswa kuikariri ilani ya ccm bila hivyo watafukuzwa kazi eti kirusi dawa yake ni kukiondoa aisee hata mungu hakuwahi tulazimisha binadamu tukariri biblia na Qur'an kabla ya uharibifu huja kiburi lema G
 
Hahaha ujumbe ni nini hapo,ni kwamba MUNGU YUPO?! Au Polepole atachomwa moto?!
 
Polepole ni mzee ama kijana,mimi nina miaka 50 lakini nashindwa kujua nimdogo wangu ama mkubwa,Hebu nisaidieni japo najua hata kwa Sura Mwigulu,Bashiru ni wadogo zake
 
Ndo maana nimesema watanzania wote Sasa anzeni kuamini kuwa Maisha huku Duniani ni jino Kwa jino.Mkiwafugia ubovu na kuwalalamikia hawa pasipo kupambana pengine hata kuwaangamiza hadi kifo hakika hakika mtakufa ninyi huku wao wakineemeka na kuishi kama malaika huku Duniani.

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Humphrey Polepole

Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe.

Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena.

Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu ukufikie kwasababu najua upo humu unafuatilia kila linalojadiliwa.

Barua yako ya leo kuhusu andiko lilosambaa katika mitandao ya kijamii ambalo amelikana Katibu mkuu wako na wewe kuandika Barua ili KULIKANA ZAIDI zimejaa vitisho na MAJIVUNO ni tamko ambaolo utafikiri limeandikwa na Malaika Mikaeli kwenda kwa wanadamu akimkumbusha maulana kwanini hajawapeleka kuzimu watu waliompinga Yesu Kristu hii ni uonevu kwa wenye imani tofauti kaka yangu!!!!!!!!!!!!

Kaka/Baba yangu Hamphrey polepole Moto utakao kuchoma wewe huko Tunakoita Jehanamu naamini utakua mkali kuliko ambao utamchoma mtu yeyote ambaye naweza kufikiri mimi

Polepole Mungu alikupa kipaji, Mungu alikuleta duniani kwa makusudi maaalum, Umenusurika ajali kadhaa kwasababu bado hujatimiza kusudio la mwenyezi Mungu kukuleta wewe duniani,

Pole pole wewe una Utu, wewe ni mttetezi wa wanyonge kuliko wanachama wengi wa upinzani tunaowajua, pole pole una akili za za ma genius wengi sana ila kwasasa umebadilika sana kwa vitu unavyofanya mpaka mwanangu anakushangaa. Uliposema kuhusu wito wa Bashiru kwa membe ni wa kawaida sijuimimi mwanangu alinihoji nikakosa Jibu, hivi Baba/kaka ulikuwa unawaza unawapa maelezo watu wa aina gani?

Jitafakari kaka/Baba yangu Dunia inapita haya maisha ya dunia ni ya mpito na Maisha yetu ya Milele ni ya Mbinguni! tuliiishe neno ndugu yangu! Mungu yupo.

Humphrey Polepole mwanaharakati jitafutie siku moja kaa tafakari maisha yako kama yapo sawa nenda kampe Mungu sadaka ila kama utaona kuna mahali umeegemea kidunia zaidi jirekebishe.

Wana JamiiForums, hii ni Dunia wote Tupo Njiani tunapita, Kuna maisha zaidi ya hapa kila uchao tumshukuru Mwenyezi Mungu,

Ambao msio amini uwepo wa Mungu naombeni samahani sana tena sana. endeleeni na Imani yenu ila mimi kwa NILIYO YAONIA DADIRIKI KUSEMA . MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO

MUNGU YUPO LEO NA KESHO NA JANA NA NAMPIGANIA KILA MWENYE HAKI TUKESHE TUKISALI
Sasa mbona hujasema kosa lake?umeishia kunung'unika tu,nakupa pole Sana kwa kupoteza muda wako kumshauri mfuasi wa shetani huyo,unamweleza kuhusu Mungu na mbingu, huyo? Huyo mungu wake ni ccm na mbingu yake ni Tanzania.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Watanzania, hapa Mimi sioni kama tatizo ni Polepole au MAGUFULI au CHAMA CHA MAPINDINDUZI. Binadamu yeyote kwa asiri ni mbinafsi, hata mimi ninayeandika hapa nina element hizo hizo za ubinafsi. Mtazame Nape alipokuwa ndani ya system na alipotoka nje ya system, ni mtu aliyebadirika SANA mpaka anapata sapoti ya watu aliowamiza.
Leo linajitokeza kundi la akina Membe, tayari watu wanaoamini kwamba labda hawa watatuletea nafuu wameshaanza kushangilia kama vile Membe yupo kwa ajili yao. Na makundi masirahi yameshajitokeza, hawa NI wale wanaoamini kwamba Membe akiingia pale hawakosi ulaji. Hata wapinzani ukiangalia nao wanajipanga kivyama ndo maana hata Lowasa alipohamia CHADEMA walijikuta wakisapoti hata wale walikuwa wakimchukia walilazimika, sababu waliamini kwamba ataifanikisha CHADEMA kuingia ikulu. Hivyo ubinafsi ni tatizo.
NINI MAONI YANGU
Nchi ili iweze kusimama lazima iwe na mwenyewe, huyu ANAWEZA kuwa mfalme au familia, au baraza maalum la wazee mfano kama Nyerere faundation ambalo hata raisi anapofanya teuzi fulani ziwe zinapitiwa kabla ya kutangazwa hadharani baraza hilo linaweza kuwa la maraisi wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, wakurugenzi wa Usalama wastaafu, wakuu wa majeshi wastaafu, wenyeviti wa vyama wastaafu na wengineo. Hawa wote wanaweza kuwa chini ya uenyekiti wa raisi anayestaafu. Hawa wamtazame raisi anakoipeleka nchi. Vyeo kama mkuu wa mjeshi, mkuu wa usalama wa taifa, au IGP na takukuru atapoteuliwa basi raisi apendekeze majina kadhaa ili yapitiwe na hawa wazee. Nchi inapokuwa na mwenyewe raisi hawezi kuwa mkurupukaji katika maamuzi. Hata ile hofu ya kisitawale CHAMA kingine ZAIDI ya CCM unaweza kuondoka.
Nchi isiyo na mwenyewe raisi anakuwa kila kitu matokeo yake yanakuwa hovyo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ndo maana nimesema watanzania wote Sasa anzeni kuamini kuwa Maisha huku Duniani ni jino Kwa jino.Mkiwafugia ubovu na kuwalalamikia hawa pasipo kupambana pengine hata kuwaangamiza hadi kifo hakika hakika mtakufa ninyi huku wao wakineemeka na kuishi kama malaika huku Duniani.

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Mi nawashangaa watumishi wametulia tu natoa wito kwa watumishi wote wa serikali mje inbox niwaonyeshe sumu ya kuanza kuwaua hawa paka wanaowatesa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Dah hii nchi dada yangu ukiifuatilia sanaa unaweza ukawa mtu wa kulia kila siku coz kumejaa watu wanao pindisha ukweli,wanafki na wakujipendekeza...

Nakumbukka mwaka2013 wakati nakuja dar es salaam nilimuaga baba nikamwambia nakwendar dar masomoni ila lazima nikutane na POLE POLE japo nichote busara zake na utetezi wake wa wananchi umetukuka Sanaa kwa wakati ule nilikua namkubali sanaa...

Kwakweli sikubahatika kuonana naye coz maswala ya masomo yalikua yananibana sanaa.. na mawazo yakapotea hali ya uchumi haikua sawa sawa...

Lakini POLEPOLEY wa sasa ananitia hasira sanaa ni mtu mnafki sanaa hajali watu yeye ilimradi mkono katia kinywani haoni watu tunavyo teseka ndani ya nchi yetu kiukweli namchukia huyo baba kuliko ata JPM.. huyo baba ni mchumia tumbo fact kaweka kwenye mkoba...
Ni mnafiki sana huyo chakubanga.View attachment VID-20180219-WA0036.mp4
 
Hahaha ujumbe ni nini hapo,ni kwamba MUNGU YUPO?! Au Polepole atachomwa moto?!
Nimejaribu kufanya skimming sijaambulia chochote cha maana. Polepole kawaambia watu wafuate sheria, ye anasema anawatisha. Sielewi jamaa alitaka polepole aseme nini pale genge la watu linapoibuka na kuja na story za kupika na taharuki ktk jamii.
 
Kama hujaelewa basi wewe ni hamnazo kama walivyo mafisiem wote.
 
Humphrey Polepole

Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe.

Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena.

Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu ukufikie kwasababu najua upo humu unafuatilia kila linalojadiliwa.

Barua yako ya leo kuhusu andiko lilosambaa katika mitandao ya kijamii ambalo amelikana Katibu mkuu wako na wewe kuandika Barua ili KULIKANA ZAIDI zimejaa vitisho na MAJIVUNO ni tamko ambaolo utafikiri limeandikwa na Malaika Mikaeli kwenda kwa wanadamu akimkumbusha maulana kwanini hajawapeleka kuzimu watu waliompinga Yesu Kristu hii ni uonevu kwa wenye imani tofauti kaka yangu!!!!!!!!!!!!

Kaka/Baba yangu Hamphrey polepole Moto utakao kuchoma wewe huko Tunakoita Jehanamu naamini utakua mkali kuliko ambao utamchoma mtu yeyote ambaye naweza kufikiri mimi

Polepole Mungu alikupa kipaji, Mungu alikuleta duniani kwa makusudi maaalum, Umenusurika ajali kadhaa kwasababu bado hujatimiza kusudio la mwenyezi Mungu kukuleta wewe duniani,

Pole pole wewe una Utu, wewe ni mttetezi wa wanyonge kuliko wanachama wengi wa upinzani tunaowajua, pole pole una akili za za ma genius wengi sana ila kwasasa umebadilika sana kwa vitu unavyofanya mpaka mwanangu anakushangaa. Uliposema kuhusu wito wa Bashiru kwa membe ni wa kawaida sijuimimi mwanangu alinihoji nikakosa Jibu, hivi Baba/kaka ulikuwa unawaza unawapa maelezo watu wa aina gani?

Jitafakari kaka/Baba yangu Dunia inapita haya maisha ya dunia ni ya mpito na Maisha yetu ya Milele ni ya Mbinguni! tuliiishe neno ndugu yangu! Mungu yupo.

Humphrey Polepole mwanaharakati jitafutie siku moja kaa tafakari maisha yako kama yapo sawa nenda kampe Mungu sadaka ila kama utaona kuna mahali umeegemea kidunia zaidi jirekebishe.

Wana JamiiForums, hii ni Dunia wote Tupo Njiani tunapita, Kuna maisha zaidi ya hapa kila uchao tumshukuru Mwenyezi Mungu,

Ambao msio amini uwepo wa Mungu naombeni samahani sana tena sana. endeleeni na Imani yenu ila mimi kwa NILIYO YAONIA DADIRIKI KUSEMA . MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO

MUNGU YUPO LEO NA KESHO NA JANA NA NAMPIGANIA KILA MWENYE HAKI TUKESHE TUKISALI

kupewa cheo cha vuvuzela unazani kazi yake nini
 
Hawa watu sio bure mi naona hata ndumba za chato zinatumika kuwafanya wapumbavu sana. Pole na vashite naiona kma nisukule ya pombe.
 
Back
Top Bottom