Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!
Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================
Mwenyekiti wa Chama cha...
Wakuu,
Nimechoka kuona mabango ya CCM mtaaani.
Yaani kila sehemu ni mabango tu. Nimeenda pale Makumbusho mabango yako hadi kwenye magari
Halmshauri mko wapi? Mazingira kwa kweli ni mabovu na...
Kuna tetesi tesi kuna watu wanataka kuandamana ili watu wasipige kura, nataka nikuhusieni kama kuna ndugu yake au kijana wake basi amwambie aache kwa sababu haifai, Tusubiri maandamano yatakuwepo...
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia...
Machifu wa Mkoa wa Simiyu wamewataka Wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi wanaowataka.
Wamesema amani ndiyo msingi wa Taifa...
Hapa naweza kusema ni kama imetoka oda fulani kwa watumishi wote wa Umma.
Na kuwaza kwa ndani kabisa inawezekana ikawekwa lokoo watakapiga kura na wasio piga kura halafu wasiopiga kura...
"Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie Ban...
Sheikh uchaguzi huu hadi sasa ni haramu, je unalifahamu hilo. Lakini hali si nzuri watu wanatekwa sana sijasikia ukilisemea au halina umuhimu kabisa?
====================
Waumini wa dini ya...
Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana hao wameonywa kuacha...
Kuna kelele za kawaida kwa wanaoitazama kwa juu uso wa kesi hii, lakini ndani ya frequency ya Court Chamber Alpha, operesheni hii imevuka kiwango cha kesi.
Kilichoonekana leo ni intel chessboard...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye...
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, ameahidi kuwa serikali itakayoundwa na chama hicho itawapa wakulima uhuru wa kujipangia...
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je...
Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote.
Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala...
Msanii wa Bongo Fleva, Hussein Machozi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kama wako 1000 basi naye atakuwa mstari wa mbele kama wa 1001 hiyo Oktoba.
Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu...
Kila jambo lina wakati wake amini nawaambia tukumbuke kesho yetu ipo mikononi mwa Bwana kuna lakujifunza usikute ametekwa na V8 ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Niwatakie Jioni Njema.
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga.
Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...