GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga.
Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga sana!
Hiyo inamaanisha nini?
1. Alikusudia kulijenga Taifa la watu waoga kiasi gani?
2. Ni kweli Watanzania ni waoga sana?
3. Taifa linanufaikaje linapokuwa na raia waoga sana?
4. Kati ya raia waoga kiasi na waoga sana ni wepi wenye manufaa kwa Taifa?
5. Hayati Nyerere alikuwa sahihi kutaka kulijenga Taifa la watu waoga kiasi na si watu waoga sana?