January ndiye kijana anaeonekana tishio kwenye mbio za urais 2030 kijana anaonekana anakubalika s na ana ushawishi mkubwa sana kumzidi Ridhiwani kikwete
Kwenye hili Anguko la January mmoja ya...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt...
Maendeleo mara nyingi sana yanaletwa na non tax revenue na sio tax revenue
Hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza jibu ni non tax revenue ambazo zinajumuisha madini, mafuta & gesi...
Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema
"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta...
Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika...
Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni...
..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni...
Madaraka yanapita pls watekaji/ mamlaka huyo kijana alikosoa kwa staha na aliongea ili viongozi mjirekebishe kizuri zaidi chama anafahamu ccm mtandao walivyokuwa wanafanya mambo yao, lakini pia...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama...
Mwaka 1921 chama cha kikomunisti cha China CPC kilizaliwa rasmi.
Kupitia uonezi uliokuwa ukitendwa na serikali ya Jamhuri ya China chini ya chama tawala Kuomitang KMT na ukoloni uliokuwepo...
Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga.
Kuna watu wengi kiufupi...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao...
Makamu Askofu Mkuu wa makanisa ya FPCT nchini Elias Simon ametangaza siku tatu za ibada ya kufunga na kufanya maombi maalumu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais ,Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
Wakuu,
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad akizungumza kwenye Maulid ya mtume Temeke Azimio kuhusu umuhimu wa kushukuru na kuuishi uislamu alisema:
"Hakuna asiyekuwa muislamu...
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Amir Hamza, amemnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt.Samia Suluhu Hassn, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kutumia haki yao ya Kidemokrasia kuwachagua...
Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokutana na makundi ya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega, amesema ujenzi wa viwanda unaoendelea wilayani Mkuranga tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.