Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa...
17 Reactions
33 Replies
1K Views
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025)...
0 Reactions
3 Replies
287 Views
Kaburu Petet Botha na wenzake walikuwa hawataku upinzani wa kila namna. Kila mpinzani aliyekuwa akipinga ukatiri wao alipotezwa kuuwawa au kutiwa kizuizini. Miaka hiyo kituo kikuu cha polisi...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Shaban Mlewa, amesema hakuna amani ya kweli inapokosekana haki na usalama wa uhai na mali, akisema kuua mtu mmoja ni kuondoa amani kwa jamii nzima. Ametoa kauli...
3 Reactions
4 Replies
422 Views
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya...
1 Reactions
6 Replies
260 Views
Hawa wazee wa CCM wakubali tu wamechoka maana wakienda bungeni watajikuta wanasaini mikataba ya kutuuza kabisa Zungu jamani kweli ndo kuzuia maji taka kuua samaki barabarani au ndo mradi mpya wa...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Wakuu, Kila zama zina vita vyake, vingine hupiganwa kwa silaha, vingine kwa maneno, ukweli na ujasiri. Karne zilizopita, askari walibeba rozari vitani, wakiamini ni ngao ya imani na ishara ya...
10 Reactions
14 Replies
676 Views
Leo Oktoba 22, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro wakati akifungua Semina ya Amani iliyokutanisha viongozi wa dini mbalimbali Kanda ya...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Najaribu kuwaza hali ambavyo ingekuwa kama tungekuwa na rais mwingine na siyo huyu rahis wa sasa.
-1 Reactions
9 Replies
324 Views
Oktoba 29 Nitakuwepo. Nategemea kukutana na kaka na dada zangu from another mother! Mimi naona itakuwa get together tu ya wajukuu wa Clemence Mwandambo. Divided by DNA, United by Dismay...
2 Reactions
4 Replies
269 Views
Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF...
6 Reactions
19 Replies
602 Views
Leo 14/10 ni siku ya Nyerere. Lakini pia ndiyo siku aliyozaliwa Baba yangu mzazi niliyemzika 27/9/2025. Leo angetimiza miaka 86. Siku hii ni mababa wawili waliohusika kuzifanya fikra zangu ziwe...
4 Reactions
9 Replies
340 Views
SISI NDIO WATEKAJI NA WAUAJI TUNAWASINGIZIA TUU WASIOJULIKANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wasiojulikana! Kivipi yaani? Hawajulikani kwa namna ipi? Watekaji na wauaji ni sisi sisi...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini. Pia soma Tanzania...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Polisi Mkoa wa Tarime Rorya wamekanusha madai ya utekaji katika mji wa Sirari, wakisema tukio lililotajwa ni operesheni ya kawaida ya kukamata watuhumiwa wawili. Tukio hilo lilitokea Oktoba 21...
0 Reactions
8 Replies
437 Views
Mgombea wa nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, John Kessy, amefariki dunia jana , saa nane mchana...
1 Reactions
8 Replies
426 Views
KIMEDANI; WIKI HII NDIO INGEKUWA WIKI MUHIMU YA MASHAMBULIZI MAKALI KWA WALIOPANGA MAANDAMANO. ZILE SUPER SUB HII NDIO INGEKUWA WIKI YAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye mapambano...
2 Reactions
28 Replies
845 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatano Oktoba 22.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohammed Shayo amehimiza wananchi kuendeleza utulivu na mshikamano kabla na baada ya uchaguzi uliopo kwani sio desturi ya watu wa Kilimanjaro...
1 Reactions
2 Replies
162 Views
Back
Top Bottom