Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya kusafishia dhahabu, Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa viwanda hivyo ili vipate malighafi ya kutosha na ili kukamilisha hilo Serikali imepunguza mrahaba wa madini yanayouzwa kwenye viwanda hivyo kutoka 6% hadi 4%”
“Nafurahi kulijulisha Bunge kuwa Serikali Serikali imekamilisha taratibu za kununua Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini (Gold Reserve)"
“Tunataka tunapotaja akiba ta fedha za kigeni tutaje na akiba ya dhahabu tuliyonayo, hatua hii itawapatia Wachimbaji bei nzuri na kuimarisha sarafu ya Nchi yetu, hii ni baada ya kupokea maelekezo ya Mh.Dkt. Samia na michango ya Waheshimiwa Wabunge”