Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia. Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali...
61 Reactions
174 Replies
8K Views
Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee...
12 Reactions
11 Replies
525 Views
Habari, hivi toka serikali ifungie baadhi ya sites mitandaoni, naona ndo raia wanazidi kuongeza chumvi kwenye kidonda. Mfano 𝕏 kule raia still wanamwaga upupu kwenda mbele na hapa JamiiForums...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha MAKINI, Coster Jimmy Kibonde, ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
183 Views
Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu Hali ni mbaya leo nimeshudia mtu akitekwa kimara Nilikuwa kwenye gari yangu nashuka town aise mtu katekwa katolewa kwenye gari yake kawekwa kwenye pro box halafu kupelekwa direction ya town...
7 Reactions
24 Replies
869 Views
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara akiwa kwenye Kampeni Tunduma alisema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za vyama vingi nchini Tanzania,kuanzia kwa 1992 wagombea urais wanawake wamejitokeza kwa wingi na kwa nafasi ya juu ya kisiasa kuliko wakati mwingine...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Tanzania ipo katika maandalizi ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, ambapo Wananchi kote nchini wanatarajiwa kushiriki kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali. Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya siku ya...
0 Reactions
2 Replies
317 Views
Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda...
6 Reactions
13 Replies
499 Views
Hamjambo! 1. Wanajukwaa Ladies and gentlemen. Upande huu kulia ni waandamanaji wanajipanga. Na kushoto kwa ni Wazuia maandamano. Wote leo wataonyesha mpango kazi wao kukamilisha zoezi la tarehe...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Humphrey Polepole ni miongoni mwa wanasiasa waliowahi kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hasa alipokuwa katibu wa itikadi na uenezi enzi za utawala wa JPM. Cha kushangaza mwenendo wake wa...
5 Reactions
156 Replies
4K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC)...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Haki huinua taifa Tanzania sasa imekua moja, wote tunaongea kauli moja, na msimamo ni kumwondoa mtesi. kabla tulikua na matabaka, sasa wote tumefikiwa Tulisema sana, tukaonekana wajinga, mkuki...
5 Reactions
3 Replies
254 Views
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili...
17 Reactions
76 Replies
3K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom