Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa onyo kali kwa watu wote watakaothubutu kuvuruga amani kwa kile alichokiita homa ya uchaguzi akisema Serikali haitamvumilia yeyote atakayehatarisha...
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.
Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama...
Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa...
Salaam
Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM.
Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani.
Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi...
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye...
Wenje tangu ahamie CCM amecharuka zaidi :Alien: :Alien::Alien:
Vituko vinaendelea huko Wenje anasema amepata wokovu CCM leo hii anaiponda CHADEMA eti ni hawana mipango wanashinda Mtandaoni kazi...
Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi...
CCM wanambinu zao za dakika zajioni katika kuzitafuta kura. Lakini kama uchaguzi usikuwepo mwaka huu basi bila shaka wananchi wakeendela kuteseka katika kudai fidia zao
====================...
Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja
Tumika baba!
====================
Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne...
Sina shaka na hili. Tanzania tuna tatizo. Tunafanya uchaguzi bila upinzani. Vyama CCM B vimewekwa baada ya kuhongwa ili kuhalalisha uongo.
Ni uchaguzi gani halali wa huru na haki bila Lissu? Ni...
Baada ya sinema za kuwasingizia mapadre kuwa wanajiteka ama wana stress za madeni kuonekana kama zinastukiwa na wananchi, sasa wanakuja na mbinu hiyo mpya iitakayowafinya vizuri mapdre mpk wakome...
Jumuiya ya Maridhiano ya Mkoa wa Shinyanga imewasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29 mwaka huu, wakisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kutimiza haki ya kikatiba...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara zake za kampeni ndani ya jimbo hilo, ambapo leo Oktoba 18, 2025...
Siamini katika kuvunja katiba, vyovyote iwavyo ningependa uchaguzi ufanyike mwaka huu, kukiwa na ushiriki wa vyama vyote na CHADEMA kikiwepo.
Kama sauti yangu ingekuwa inasikika ningemshauri...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya...
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.