Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 15, 2025. Last time tuliishia part 101 so leo tunaendelea na Part 102 Leo Tarehe 15/10/2025. Mheshimiwa Tundu Lissu ameingia Mahakamani. Amesimama...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona...
3 Reactions
4 Replies
277 Views
Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga. Wewe ndiye...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
"Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi...
0 Reactions
24 Replies
696 Views
Sativa ambaye pia aliwahi kutekwa na watu wasiojulikana, Anaona kuwa intelijensia inatumiwa dhidi ya CHADEMA badala ya kulinda wananchi. Sativa pia amesema utekaji wa raia unaoendelea na kusema...
3 Reactions
5 Replies
384 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP (Mst) Balozi Simon Sirro ameongoza mazoezi ya pamoja yaliyohusisha vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani humo na kusisitiza kuwa lengo ni kuonesha kuwa vyombo hivyo vipo...
1 Reactions
8 Replies
366 Views
Tatizo la kifedha sio la CHAUMMA pekee yake, tatizo la fedha ni la vyama vyote vya upinzani, kwasababu havina msingi imara wa mapato. Kwahiyo kampeni za vyama vya upinzani zinategemea kwa sehemu...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Mgombea wa ubunge Jimbo la Uyole, jijini Mbeya, kupitia chama cha CHAUMMA, amekutana na tukio lisilo la kawaida alipokuwa akipita Soko la Uyole kuomba Kura kwa wananchi. Wakati akikatiza Sokoni...
10 Reactions
15 Replies
520 Views
Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani...
4 Reactions
26 Replies
767 Views
Mgombea ubunge viti maalum kupitia CCM, Regina Henry Mikenze, akiwa kwenye kampeni Bukombe, Geita, leo Oktoba 12, 2025, amesema: "Serikali ya Samia imewekeza sana kwa vijana; iwaje leo wakalipize...
2 Reactions
10 Replies
382 Views
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake ya awamu ya sita kwa...
2 Reactions
6 Replies
284 Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema kundi la watu wanaotaka kuandamana siku ya Oktoba 29 wana hoja zenye nguvu,mashiko na hoja za msingi na huwezi kuzipuuza...
3 Reactions
18 Replies
744 Views
Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Haya matamko yanaleta taharuki maana si JWTZ, polisi, mawaziri na vyawa wameshasema hakuna maandamano? Sasa kuendelea kusema kitu ambacho hakitafanyika na hakipo kunanikosesha amani binafsi...
3 Reactions
3 Replies
253 Views
This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
6 Reactions
25 Replies
824 Views
CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine...
7 Reactions
8 Replies
352 Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa...
3 Reactions
14 Replies
649 Views
Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya...
1 Reactions
10 Replies
371 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Katika...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Back
Top Bottom