Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Septemba 23, 2025, ameendelea na kampeni zake katika eneo la Nakapanya...
0 Reactions
3 Replies
334 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt...
4 Reactions
689 Replies
119K Views
Baada ya kilio cha muda mrefu cha wakazi wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania cha kukosa kituo kikuu cha mabasi, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi sasa...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa wagombea Ubunge wa chama hicho mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Uyui katika...
1 Reactions
3 Replies
292 Views
Luhaga Mpina, aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, leo Oktoba 27, amezungumzia rufaa yake aliyokata katika Mahakama ya Rufaa baada ya Agosti 6, 2025, kuteuliwa na chama hicho kugombea...
3 Reactions
9 Replies
518 Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz akiwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema wakati walipokutana katika Ikulu ya Lusaka baada ya mazungumzo ya kikazi ikiwa ni takriban...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonya, amesema viongozi wa Tanzania wana wajibu mkubwa katika kuhakikisha amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu nchini...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuhusu hali ya usalama katika jiji hilo kuelekea zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum...
0 Reactions
3 Replies
226 Views
Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara...
8 Reactions
107 Replies
4K Views
Tueleze madhira tunayopitia atusaidie. How? That will be our debate! Karibu kwa kila kitu, hoja, matusi, hoja mfu na ushenzi wowote
3 Reactions
10 Replies
299 Views
Ambao hatupigi kura tunaweka wazi ila wanaoenda kutiki wanajificha ficha sana Hiyo siku ya kura nafikiri wataingia vituoni kwa kujificha na kutoka nduki kwani wao ndo wanajiona kama wahalifu...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo. Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole Machozi yangu yanakulilia! Pumzika kwa...
13 Reactions
76 Replies
2K Views
Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa...
14 Reactions
102 Replies
3K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na...
1 Reactions
2 Replies
296 Views
Ukianzia ubungo mpaka kimara kuna mradi unaendelea wa kutanua barabara ila barabara inayojengwa ni ndogo sana ambayo baadae italeta ulazima mwingine tena wa kuitanua Miradi yetu kama nchi...
7 Reactions
10 Replies
587 Views
Historia inasema hakuna ukombozi ulioanzia mikoani katika nchi zote za ulimwengu. Mageuzi yote yanaanzia Makao Makuu ya nchi. AMINA
2 Reactions
5 Replies
349 Views
1. Vituo vya kura 2. Sheli za mafuta Leo naongelea eneo la pili, "Fire/Fuel is the key" Ndugu wa Tanzania ikitokea mko karibu na kituo cha mafuta na polisi wameamua kutumia nguvu nyingi...
9 Reactions
18 Replies
917 Views
Ndugu watanzania wenzangu sikutegemea kama zenji wana uchukia muundo wa muungano au muungano wenyewe hadi ninapofuatilia mjadala juu ya muswada huo kupitia TVZ. Sitta anapata wakati mgumu sana...
0 Reactions
224 Replies
22K Views
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…