Trump Super power, akikojoa mnamwachoa POLEPOLETrump ni nani kwenye nchi yetu?
yaani kwa akili hizo halafu mnataka tuwape nchi? kesho kutwa mapema naenda kutiki. karibu kwa matusi pia
Amina. Na iwe kweliNguvu na Sauti ya umma inajitosheleza.
AminaNguvu na Sauti ya umma inajitosheleza.
Uko sahihi. Yeye anamtisha bibi halafu wananchi wanachukua nchiYeye mwenyewe nchi mwake kuna maandamao ya No kings Ina America.
Atawasaidia nini huyo bwenyenye?
Niamini mm, Any revolutionary ambayo haitatoka kwa wananchi haitakua na maslai mapana ya Wananchi. Bado wataingia vibaraka tu