Its Tesha Senior Member Joined Oct 6, 2025 Posts 168 Reaction score 608 Oct 28, 2025 #1 Jamaa alisema atakuja kusema ukweli lakini wapy? Watu ni kama wamefungwa? Kuna namna hawa akina Mafwele wamefanikiwa kudhibiti baadhi ya mambo.
Jamaa alisema atakuja kusema ukweli lakini wapy? Watu ni kama wamefungwa? Kuna namna hawa akina Mafwele wamefanikiwa kudhibiti baadhi ya mambo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,460 Oct 28, 2025 #2 Naona anaishi kama Digidigi.
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 6,602 Reaction score 9,159 Oct 28, 2025 #3 Mnadhani hili Taifa limekuwa stable kuzidi nchi zinazotuzunguka kwa bahati mbaya. Tukutane kesho mkijifariji kwa kushindwa.
Mnadhani hili Taifa limekuwa stable kuzidi nchi zinazotuzunguka kwa bahati mbaya. Tukutane kesho mkijifariji kwa kushindwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,647 Reaction score 196,317 Oct 29, 2025 #4 Muda utaongea... Cc: Mahondaw