DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Msemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga kura lakini baada ya kumaliza tukio hilo utachukuliwa na jeshi hilo kwa hatua zaidi.
Amesema wanaohamasisha maandamano Wana picha zao, na hata siku ya uchaguzi wakienda kupiga kura watawasubiri wamalize kupiga kura kisha wawakamate.
My Take
Hapa Jeshi linazingua hii ni hatua mbaya kwa wapiga kura kwasababu Polisi wanatengeneza mazingira ya watu kutokwenda kupiga kura.