Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Japo CCM na serikali na majeshi yake wanatangaza kuwa kesho ni siku ya uchaguzi, huu si uchaguzi bali uchafuzi. Kula fedha za CCM ila kura usipige. Utapiga ya nini na kupoteza muda wakati...
3 Reactions
4 Replies
173 Views
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea...
2 Reactions
6 Replies
449 Views
Ujumbe umekaa kizalendo sana: Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa...
10 Reactions
16 Replies
733 Views
Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Uzoefu wangu katika kupiga kura unaonesha siku ya uchaguzi mkuu ni siku muhimu inayotoa fursa ya majirani kufahamiana.Kupiga kura ni alama muhimu ya kuthibitisha utanzania wako na pia ukazi wako...
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni. Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole...
7 Reactions
5 Replies
513 Views
Kesho msiende popote. Kama mnataka kutoka labda iwe jioni sana muda wa kuanzia saa 12 na kuendelea. Msiende sehemu mkaleta matatizo. Kuanzia saa 12 asubuhi hadi 12 jioni mbaki majumbani mwenu.
5 Reactions
23 Replies
637 Views
Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuepuka kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa...
3 Reactions
4 Replies
248 Views
Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo...
1 Reactions
9 Replies
495 Views
Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao. Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa...
2 Reactions
0 Replies
195 Views
wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Hawa ni baadhi tu ya Askari wa JWTZ wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura za mapema visiwani Zanzibar
4 Reactions
12 Replies
471 Views
Wakuu, Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dkt. Dennis Muchunguzi Dennis Muchunguzi amesema baadhi ya ahadi zilizotolewa na wagombea wakati wa kampeni zimekuwa za kuchekesha na zisizo na uhalisia...
2 Reactions
5 Replies
229 Views
Wakuu, Matamko yameendelea kutolewa kuhusu Uchaguzi huu Hawa wanajiita Wanazuoni wa Kiislamu
1 Reactions
8 Replies
207 Views
Eti ACT ndiyo pekee Inaweza kuleta maandamano. Huyu ni mzima kweli? Awaishwe Milembe
5 Reactions
13 Replies
462 Views
Tunajua kupiga kura ni haki ya kila mtu lakini sio kwamba ni kulazimishana. Wahusika wa uchaguzi wanatakiwa kuwashawishi wananchi kwenda kupiga kura na sio kutumia nguvu. Nimepita maeneo ya...
2 Reactions
5 Replies
329 Views
kwa kikwete tumeibiwa sana kama nchi awamu ile ila sasa yupo wapi, hivo ndugu zangu nawaombeni sana tuwe wavumilivu muda wake utaisha tu, kabla huja hamasisha uvunjifu wa amani fikiria watoto...
3 Reactions
29 Replies
925 Views
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom