Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

CCM yaendelea kumeguka tena zanzibar, Juma muhamed ally atimkia Cuf. Hii imetokea jana huko zanzibar. Source magazetini rfa
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Chadema inaendelea kutumia wataalamu wake kuona sera ipi bora itakayowawezesha madereva kutii sheria,itakayowafanya wamiliki kupata usalama wa magari yao na jinsi ya kuhakikisha vifo vya ajali...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za harakati ya kutamfuta mrithi wa JK zinaendelea safari hii zimeibukia Unguja na Pemba. Huko wafuasi na Wakazi wa Visiwani wamekuwa katika mijadala mizito juu ya nani ana nafasi ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP) Bw. Augustine Mrema, Ametangaza kumvua uanachama yule Mwenyekiti wa kamati ya ukweli na maridhiano, Joram Kinanda na wanakamati wenzake wanane...
6 Reactions
65 Replies
12K Views
ni kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hapa mafinga nimepanga mstari wa foleni kwa masaa 11 ila ninashukuru nimejiandikisha ninamuomba mungu niitumie vema kura yangu kwenye uchaguzi mkuu
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Vyama vinavyounda ukawa leo vimefanya mkutano wao wa kwanza mjini kahama na kuhudhuriwa na halaiki kubwa ya watu ambao wakati wote walionekana wakiwa na nyuso za ukombozi....mweshimiwa lema...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Hayawi! Hayawi! Sasa yamekuwa! Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Kamanda Salum Mwalim amepitishwa na kamati za UKAWA Zanzibar kugombea ubunge jimbo la kikwajuni. Kwa sasa jimbo la kikwajun...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Muhingo Rweyemamu on Amina’s Death Salaam wana Tumaini na wapenzi wa ukweli kote mliko. Tangu Amina alipofariki usiku wa juzi, mimi binafsi kama Mhariri wa gazeti la Rai, nimepokea simu na...
5 Reactions
44 Replies
14K Views
Wadau, Hata kama ni uwekezaji lazima ufuate sheria za nchi husika, lazima kuwe na win win situation. Kwa bahati mbaya sivyo hivyo kwa haya mabenki ya nje yanayofurika nchini kila uchao...
14 Reactions
76 Replies
8K Views
Felix Mwakyembe Toleo la 404 6 May 2015 34 Chadema wajipanga kumng'oa Mwanjali Ndesamburo atajwa ubunge Mbeya Vijijini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha usiku kucha nimepita baadhi ya mitaa alfajiri hii na kukuta wananchi wakikimbia nyumba zao sababu ya kujaa maji ndani. Inatia huruma kwa kweli, awa...
8 Reactions
567 Replies
127K Views
Nimesoma mahojiano baina ya Gazeti la Mwananchi, leo 04 Mei 2015 nikagundua kuwa CCM haiko tayari kuachia madaraka hata kama watashindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015. Mh. Wasira...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nipo mkoani Njombe, leo asubuhi kaja mama mmoja kunigongea,huyu mama ni Balozi. Akatoka Wife, akaambiwa baadaye saa 9 za Alasiri kutakuwa na mkutano wa kibalozi. Bahati mbaya Mimi nilikuwa na...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiachwa kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Profesa Baregu MACHI 18 na 19, mwaka huu, kulikuwa na kongamano la kuzinduliwa kwa Kavasi la Mwalimu Nyerere. Uzinduzi huo ulitangazwa sana kwenye vyombo vya habari kabla ya tarehe hizo na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo marafiki zangu wapenda mabadiliko niko moshi mjini kwenye kongamano ya bavicha mh tindu lisu anatoa semina elekezi namna ya kushinda maccm kwenye uchaguzi mkuu October baada...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
UKAWA wanashangaa kikwete na CCM kuongeza muda wa kukaa madarakani kwa miaka kadhaa kinyume cha katiba ya nchi, mimi si mojawao. Nimebadilisha mawazo. Sasa ninaunga mkono hoja ya JK, kuongezewa...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wadau, Hivi wale waliochota fedha za EPA pale bank kuu (BOT) na kisha kupewa msamaha "haramu" wamerudisha fedha zote? Wahusika tunaomba mrejesho(feedback) kuhusu jambo hili. Jamani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imekiri kipitia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa baadhi ya waathirika wa mafuriko hawatafikiwa na misaada ya serikali kwa kuwa wanaishi katika maeneo hatarishi. My take...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AWAMU YA NNE IMEINUA SEKTA YA NISHATI, MADINI Kuanzishwa mfumo wa ununuzi mafuta kwa wingi (BPS) katika biashara ya mafuta ya petroli nchini, kwa kiwango kikubwa kumerahisisha usimamiaji wa kodi...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom