Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Leo kawenye kikao cha kamati ya TAMISEMI, mh Kigwangalla, ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo ameng'aka alipokuwa akihoji kwa nini BRT haianzi kazi wakati kamati iliagiza miezi sita iliyopita kuwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
wakati wa kikao cha halmashauri kuu cha chadema kikiendelea ni vema wakatupatia majimu haya 1) chadema iliahidi kuwasaidia watoto wa Mwagosi pamoja na mkewe watupe feed back kama hilo zoezi...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Katika jimbo lako ni chama kipi kina nguvu kati ya vyama vinne vinavyo unda Umoja wa ukawa? Tutajie lina la chama na jina la jimbo Tafadhali tutajie majina tu.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
"Serikali kupitia DART imetilia saini ya makubaliano na UDA kuendesha huduma ya usafiri wa mradi huo katika kipindi cha mpito". Source: Nipashe Tujikumbushe jinsi wabunge walivyochachamaliana...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hilo ndio swali la kiongozi wa madereva akiwa channel 10 muda huu sambamba na naibu waziri wa kazi na ajira,Mh.Mahanga. Swali lingine:Wanahoji inakuaje kibarua (dereva) asie na mkataba wa kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Ben Carson yule daktari Bingwa wa upasuaji , ametangaza rasmi kukitaka kiti cha urais kupitia Republican.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ktk pitapita leo katika wilaya ya kasulu mkoani kigoma nimekutana na viongoz wa chedema wawili kutoka kanda ya ziwa nilibahatika kuwahoji kutokana na sura zao kuwa mpya ikawa ngumu kunieleza...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mpaka sasa watia nia wa ubunge katika jimbo la Rorya wamefika 13,katika orodha hii kinachotisha ni kiwango cha elimu ya hawa vijana,Ngazi ya chini kabisa ni degree moja!.Hakika katika jimbo hili...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Dkt.lucas Webiro mzaliwa wa Bunda akuwa kiongozi pekee chadema asiyenamakundi amekuwa msaada kwa watu wa bunda matatizo ya ardhi hasa eneo la Kawaga lenye vijiji kumi kadokodo ya Seregeti amekuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani mbona serikali ya CCM ya awamu hii imeandamwa na mikosi kibao mara AJALI,MAUAJI YA ALBINO,KUPOROMOKA KWA SHILINGI,MIGOMO KILA SIKU MARA MADALADALA, HIVI INASHINDWA KUDHIBITI HALI HII? AU...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Anunue makombati, kwa pesaze mfukoni, Vifaru na guruneti, vitoke mwake kwapani, Yaani hata mabuti, na silaha za vitani, Mnitajie askari, mbeba gharama zake. Pesa zake za manati, anunue...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukijaribu kuangalia watu wenye kufahamika na ushawishi kwa kundi toka katika vyama vya upinzani, utaona kwamba kuna watu wachache sana ambao ndio wanakibeba chama. Ukiangalia Chadema, kuna watu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Kim's Chocolates ya ubelgiji , Fons Maex ( ambao ni wanunuzi wakubwa wa zao la cocoa ) ameahidi kushirikiana na wahisani wengine kujenga madarasa 600 ya shule za...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi nimekua mfuatiliaji sana wa mada za humu ndani mada nyingi ni kuuponda uongozi uliopo si vibaya kila kitu kina faida na hasara hata wewe pale nyumbani kwako kuna mambo kadhaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbio za mwenge ziliingia mtafaruku baada mbunge wa tunduru kusini ,mh Mtutura kuushutumu uamuzi wa uongozi wa wilaya kupanga msafara mwenge uende kuzindua MP LODGE na HAMANJU FILLING...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
mh. peter msigwa yuko live kwenye channel ten kipindi cha madamotto
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mzee mmoja wa serikalini alikuwa akitupa semina moja hivi nakumbuka alituambia kuwa kama kuna kijana ana mpango wa kuja hapa tulipo na kufanya maboresho amepotea kabisa na hata fanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajanvi kwanza kabisa namshukuru mwenyezi MUNGU kwa kutuonesha siku hii ya leo! kama kchwa cha mada yangu kinavyosema chama hichi kilicho ongoza nchi tangu kizaliwe 1977 hakina budi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwamjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 pamoja naarekebisho yake, ni kuwa vyama haviruhusiwi kuungana bali ushirikiano tu. Kwamjibu wa Sheria ambayo hairuhusu vyama kuungana ndio hiyo...
10 Reactions
100 Replies
21K Views
Amesema anawashangaa wazee waliokua wanaongea jana kwenye TV kwamba serikali inampango wa kuahirisha uchaguzi, Kasema ni aibu kwa watu wazima kudanganya na hajui wanaokoteza wapi hayo maneno...
1 Reactions
232 Replies
23K Views
Back
Top Bottom