Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Chadema inaendelea kutumia wataalamu wake kuona sera ipi bora itakayowawezesha madereva kutii sheria,itakayowafanya wamiliki kupata usalama wa magari yao na jinsi ya kuhakikisha vifo vya ajali vinatopunguzwa kwa kiasi kikubwa.
Imepima na kupata taarifa kuwa kila sekunde moja, tunazalisha yatima 2 katika nchi hii.
Serikali imekuwa ya kwanza kuhudhuria mazishi,kuzika na kuwapa pole yatma hao na kuwaambia wawe na moyo wa subira.
Si wale wanaotokana na ajali tu,wapo pia wafanyakazi ambao baada ya kufa,huacha wategemezi lakini wakiwa hawana pa kukimbilia.Kwa mfano
Mzazi ambaye ni Mwalimu,Mkewe ni mama wa nyumbani,akifa mme,hulazimika kuhamishwa kwenye nyumba ya serikali.
Watoto huanza kuhangaika na hawajui matibabu watapata wapi,nani atawalipia Masomo yao na kuwapatia hifadhi ya malazi.
Sera ya ccm ya ustawi wa jamii,imeelekeza tu walezi ( ndugu wa mme au wa mke au wasamalia wema), wawalee na kuwapatia mahitaji yao,kwani sisi Tanzania tunaukarimu mkubwa!
Ccm hii inayoomba tuwalee watoto( yatima kindugu), imejiondoa kushughulikia hili.
Ndio maana wafanyakazi wengi wanafanyakazi kwa hofu ya familia zao,na hii huenda imechangia watanzania kukosa uzalendo wa Taifa lao.
Viongozi wa juu,wao wamewekewa kinga ya watoto wao.
Sera hii ikikamilika itawajengea watanzania wa kada zote kulipenda Taifa lao kulipa kodi na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Taifa lao kwa bidii kubwa,bila ubaguzi,ubinafsi na kutojali kulivyo kwa sasa.
Chadema tunawaombea sera hii ikamilike na wananchi wapewe muda wa kuisoma na kutoa maoni yao