Augustine Mrema: Tumemvua uanachama yule aliyetangaza mimi kutimuliwa TLP

Mrema afukuzwa afukuze....hana tena chake ktk siasa za nchi hii
 
Mzee mrema mwacheni jamani amalizie engwe yake ya kisiasa ameteswa sana na magamba msimwone anacheka nao ni movie tu
Anatetea watoto waende MSALANI akiwa hai.
 
Sasa hii inaitwa fukuzafukuza au fukuzana ili chama kibaki tupu! Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!Kwi! Hii nnji inachekesha sana
 
hapa kuna maswali ya kujiuliza

Je,kamati ya maridhiano ina mamlaka ya kumvua uanachama Mrema au imeshauri tu.


Je,Mkwenyekiti ana haki ya moja kwa moja kuivua uanachama kamati nzima iliyopingana nae?

Je,kuna kikao kilichokaa kumvua Mwenyekiti uanachama au kikao kilichokaa kuwavua wajumbe wa kamati ya maridhiano uongozi?

Je,mipaka ya Mwenyekiti na kamati yake ni ipi?

je,kamati iliundwa kwa ridhaa ya Mwenyekiti au ni kambi mojawapo ndani ya TLP?
 
hii sasa the comedy. aliyefukuzwa na yeye afukuza walio mfukuza . kwa maana hiyo wametendana wamefukuzana n
 
ah hahahah hahahahaaa hahahaaa hahaha........hivi kwanini Mrema hakuingia Ze Comedy
 
Wamwache tu kwani afya yake hii hata mwaka akiumaliza mungu kampendelea
 
Back
Top Bottom