GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
739
Reaction score
1,467
Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea.

HAKIKA VISHINDO VYA WAKOMA VILIWAKIMBIZA WASHAMI😂😂

IMG_6758.jpeg
 
Ngoja tuweke haya matukio ya 2025 kwenye vitabu vyetu vya kumbukumbu ili wajukuu zetu na watoto wao wajue kuna wakati tuliwahi pita kama taifa pa hovyo kuliko nyakati zote
 
Back
Top Bottom