Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29...
0 Reactions
3 Replies
256 Views
Kwa uharamia na ushetani mkunwa uliofanywa na watawala dhidi ya wananchi, ni lazima wadau wote, wapigania haki wote, wazalendo wote, tuungane kwaajili ya kutafua njia sahihi za kuwawajibisha...
1 Reactions
8 Replies
253 Views
Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Hili jambo lilikuwa ni ugaidi wa hali ya juu na halitaiacha nchi Salama, mpaka viongozi wa CCM walipiziwe mbele ya watu. Mtanzania anayetaka kununua/kumiliki bunduki....
0 Reactions
1 Replies
223 Views
  • Featured
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki...
18 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo...
2 Reactions
83 Replies
2K Views
GT. Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia. 1. Asasi za kiraia zote...
3 Reactions
10 Replies
465 Views
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Nchi Ina vituko hii !.Kuna hii Taarifa nimeipata muda mfupi hapa Sasa angalieni the motive behind hili, kikao chao kimeona Et kwakua Tulia ni RAIS wa Bunge la Maspika wa Dunia. Wakimpa Uwaziri...
2 Reactions
5 Replies
359 Views
Literacy Rate ya WaTz imeanza kufika level za juu: Msikilize huyu kijana akimpa shule RC Mtaka.
22 Reactions
40 Replies
2K Views
Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji...
4 Reactions
17 Replies
618 Views
Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo. Labda ni hivi au labda ni vile. Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote...
48 Reactions
86 Replies
3K Views
Wanabodi, Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf. Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya...
16 Reactions
28 Replies
2K Views
Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo...
2 Reactions
7 Replies
444 Views
Huu ndio Ukweli !! Wanaweza wakawa ni wengi au wachache ila lengo lao ni HAKI ZAO TU. Wanapopuuzwa, ndio huamua kudai Haki zao Kwa namna wawezavyo. Baada ya hapo, hutangazwa kua ni Waasi.
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kujali utu na mzalendo kwa nchi yake. Raha ya kuwa mbunge ama diwani katika mazingira haya ya uchaguzi uliojaa damu za watu unaipata wapi? No wonder...
2 Reactions
6 Replies
311 Views
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao...
4 Reactions
3 Replies
246 Views
Kuna mchezo mmoja wa watoto unaitwa 'Who Will Blink First'. Katika mchezo huo watu wawili wanaangaliana na anayekuwa wa kwanza ku 'blink' au kupepesa macho anakuwa ameshindwa. Katika sakata...
14 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…