Hili jambo lilikuwa ni ugaidi wa hali ya juu na halitaiacha nchi Salama, mpaka viongozi wa CCM walipiziwe mbele ya watu.
Mtanzania anayetaka kununua/kumiliki bunduki....
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki...
Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo...
GT.
Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia.
1. Asasi za kiraia zote...
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio...
Nchi Ina vituko hii !.Kuna hii Taarifa nimeipata muda mfupi hapa
Sasa angalieni the motive behind hili, kikao chao kimeona Et kwakua Tulia ni RAIS wa Bunge la Maspika wa Dunia.
Wakimpa Uwaziri...
Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji...
Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo.
Labda ni hivi au labda ni vile.
Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote...
Wanabodi,
Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf.
Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya...
Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo...
Huu ndio Ukweli !!
Wanaweza wakawa ni wengi au wachache ila lengo lao ni HAKI ZAO TU.
Wanapopuuzwa, ndio huamua kudai Haki zao Kwa namna wawezavyo.
Baada ya hapo, hutangazwa kua ni Waasi.
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kujali utu na mzalendo kwa nchi yake.
Raha ya kuwa mbunge ama diwani katika mazingira haya ya uchaguzi uliojaa damu za watu unaipata wapi?
No wonder...
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea.
Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao...
Kuna mchezo mmoja wa watoto unaitwa 'Who Will Blink First'. Katika mchezo huo watu wawili wanaangaliana na anayekuwa wa kwanza ku 'blink' au kupepesa macho anakuwa ameshindwa.
Katika sakata...
Taarifa ya DW swahili iliyosoma na Bakari Ubena wamemtaja Mtoto wa Rais Abdul kama mshauri Mkuu wa Rsis, Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliye nyuma ya Mateso ya Mauaji ya...
Mwanaisha Isack, ambaye ni mama mzazi wa mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer), ameibuka na kumuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuomba msamaha kwa niaba...
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya...