PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,829
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

Attachments

  • SnapInsta.to_AQN8GWUtpkT5s9ub4yqezyN49RqoHsjZe7NbRC8kmHpbmJavQJD_gzDEFd0gb_67LT9a0u2DH2xnId2C_...mp4
    7.1 MB
Hizo ni code za vitisho. Kama wamekamata mtu kwa tuhuma fulani, unamshikilia wa nini badala ya kumfikisha mahakamani. Eti unasubiri ndugu yake aje kumtafuta ili na yeye umkamate na kumnyamazisha.

Nchi ya hovyo yenye viongozi wa hovyo.
 
Wanataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja
1000074847.jpg
 
Kwa nini wasitangaze listi ya watu wanaowashikilia kutokana na maandamano katika vituo vyote vya polisi?
TLS na JF wasaidie raia kukusanya orodha ya watu waliopotea kutoka kwa ndugu zao kutokana na maandamano na kuiweka hadharani.
 
Ili ukifika wakuunganishe na ndugu yako 😂
Kwamba huyo uliyemkamata hapajui kwake/nyumbani mpaka ndugu afike kituoni.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Jamaa huwa anafanya mizaha na maisha ya watu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

Hawa jamaa kwa kweli mimi siwaelewi kabisa. Yaani ukiwa CCM basi unafirkiri una akili kuliko Watanzania wengine. Kama police ina huo uwezo mbona mpaka leo wameshindwa kuwapata akina Mdude and Soka. Mpaka mahakama zimekataa jeshi la police kutoa ushirikiano. What makes a difference now .....!!
 
Afike polisi ili naye apotee?

Hawa watu wako detached kabisa na reality 😀.
Mkuu nawaonea wivu sana Ambao mpo huko majuu. ..
Hapa nilipo Nina maumivu makali marafiki zangu wawili wameuliwa na miili hatujaipata
Walionusurika wametuambia kwamba wameshuhudia mauaji
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

Huyu ajielewi
 
Hawa jamaa kwa kweli mimi siwaelewi kabisa. Yaani ukiwa CCM basi unafirkiri una akili kuliko Watanzania wengine. Kama police ina huo uwezo mbona mpaka leo wameshindwa kuwapata akina Mdude and Soka. Mpaka mahakama zimekataa jeshi la police kutoa ushirikiano. What makes a difference now .....!!
Mkuu hatari sana
 
Kwanini msiwaulize hao raia mliowashikiria mawasiliano ya famalia zao ili waweze kuwasiliana nao wenyewe?
 
Nchi hii viongozi wamekuwa na mizaha sana
 
Hii kenge sijui imefikaje kwenye hiyo nafasi!
 
Back
Top Bottom