Taarifa za ndani zinasema Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo mkoani Arusha, Godfrey Thomas ameshtakiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi.
Pamoja naye, lipo kundi kubwa la vijana ambalo idadi yake...
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.
Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli...
Jamaa yangu alisimamia uchaguzi.
Walikuwa na maelekezo ya kuwapa ushindi chama tawala.
Sasa najiuliza Jerry Silaa ameshindwaje Ubunge huku akiwa Waziri?
Ni wapi aliikosea mamlaka mpaka...
Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya...
ACA YAAHIRISHA MKUTANO WA 19 WA KILA MWAKA WA KOROSHO NA MAONESHO JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA
Bodi ya Wakurugenzi ya Muungano wa Korosho Afrika (ACA) imetangaza kuwa Mkutano wa 19 wa Kila...
Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana...
Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma...
Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Bulldozer wa kanisa la Arise and Shine alipokuwa akitoa salamu za pole kwa wale wote waliopata madhila wakati wa uchaguzi mkuu.
Pia Soma:
Mtume Boniface...
Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange...
Haiingii akilini kuwa hawa ni majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania!
Kwamba walitenda haki huko mahakamani! Kwamba wanaona wanachokifanya ni sahihi mbele ya Mungu na Sheria za nchi! Kwamba wana...
Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa.
Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja.
Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma...
Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania.
Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote...
Kwa walioona tweets za Abdul, wameshangazwa sana kuwa alishashiriki mapenzi ya jinsia moja, JASUSI TV imeanisha vizuri. Ni jambo la ajabu mtu kukiri kwenye twitter kwamba alishakuwa shoga, na...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Tundu Lissu, ambayo ilipangwa kuendelea kusikilizwa tarehe 3 Novemba 2025, haikuweza kuendelea kama...
Friends and Our Enemies,
Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).
Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea...
“Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi.
Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo...
Kuna hii khabari ambayo wengi wameiona ni ya kweli, ambayo siyo ya kweli, ni ya .kuchochea ubaguzi tuu baada ya watu kuungana na kutafuta njia gani ambayo tutaweza kuiondoa ccm madarakani, ila...
Watanzania ni ukweli usio na shaka kwamba tunatawaliwa na maharamia.
Kuna voicenote nimeisikiliza bodaboda mmoja maeneo ya Tabata anawasihi mapolisi wauwaji yasimuue, anajitetea yeye ni boda...
Akizungumza kuhusu hali ya baada ya uchaguzi, Mtaalamu wa Saikolojia, Leonard Mgina amesema kuwa kuendelea kuwakamata watu kutokana na matukio yaliyotokana na uchaguzi kunachochea majeraha ya...