CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.

Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!

Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.

Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.

Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.

Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.

Na Yericko Nyerere

IMG_0931.jpeg
356dc520-080e-4511-98fd-7f73ee79af37.jpeg
d5244c52-7378-45a5-87e8-38cf551886b3.jpeg
d4278f52-99ac-42fc-a933-d8ef74a9375c.jpeg
 
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Ukikosa wa kukusifia, jisifie mwenyewe!
 
Kuwa na watu kama wewe kwenye hii nchi ni laana, ndo maana hatusogei.
 
Chattings zako na yule demu zimeanikwa hapa JF. Kutongoza tu hujui sembuse kuongoza chama
 
Jasusi Bamia kwenye moja na mbili
 
Yericko wewe ni mshikaji wangu sana ila ninachoamini Kutoka kwako wewe ni mjinga sana..
Pamoja na vitabu vyako vya C&P
 
Dah...siamini kama yule Yerico aliyekuwaga role model wangu miaka hiyo ambaye nilikuwaga namkubali sana humu jukwaani na nje ya jukwaa hili
Leo siamini kama ndiye huyu!
Nahisi kuna shida mahala aisee!
 
Back
Top Bottom