DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Katika mitandao ya Kijamii ikiwemo Instagram baadhi ya watu wameanza kuikanusha iliyokuwa account ya X ya Abdul, kwa kuandika vitu sawa mfano ni ZUNGU na Middle Simba wamekopi na kupesti.
Je ni taarifa waliyopewa na mhusika ili wafanye hivi?
"Taarifa hizi zinazosambazwa X zinalenga uchafuzi wa haiba ya mtu.
Kupitia Mitandao ya Kijamii hasa Mtandao wa X (zamani Twitter) baadhi ya Watu wakiwepo wanaojiita Wanaharakati wameonekana wakisambaza picha zenye mfumo wa “screenshot” kumuhusisha ndugu Abdul Ameir Wakimuhusisha na vitendo vya uvunjifu wa maadili na kutumia Lugha chafu kuandika jumbe mbalimbali, taarifa ambazo ni wazi zinalenga kupotosha umma.
Wanaosambaza upotoshaji huo asilimia kubwa ni wale ambao wamekuwa wakiipinga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wanafanya hivyo wakiwa na lengo la kuichafua Serikali kutokana na kuhusisha taarifa hizo na mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan".
Pia Soma: Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter