Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26, leo Juni 2, 2025, Bungeni Jijini Dodoma amempa heko Naibu wake, Dkt. Godwin Mollel kwa...
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa...
Waziri wa Tamisemi Mhe. Bashungwa leo amesisitiza mabasi yote yaendayo Mikoani pamoja na nchi jirani lazima yapakie na kushushia abiria katika kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli ameyasema hayo...
Sana JF.
Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji...
Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia.
Muwakilishi wa...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema mazingira ya sasa nchini hayaruhusu mazungumzo ya maridhiano kufanyika moja kwa moja kwa...
Wakuu, Amani iwe NANYI.
Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu.
Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za...
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema...
Niwe mkweli, family yangu kuanzia Babu Baba na ndugu wengi tumekuwa CCM kwa muda mrefu , nikisema nisehemu ya wanufaika wa CCM sintakosa sana maana kwenye family yetu tumefanikiwa kutoa wabunge...
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.
Duru za kisiasa...
Mgombea ubunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya uamuzi sahihi kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wake mwenza...
Kwa akili za kawaida kabisa na kwa watu wenye akili timamu, kwa situation iliyopo sasa Tanzania, kuna mambo wala hayakupaswa yafanywe kabisa achilia mbali kuyafanya hata kisirisiri.
Hivi kweli...
Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu.
Dr...
Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa.
Mfadhili mkuu w...
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba!
Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema...
Neno political instability tulikuwa tunalitumia kujibu essay za bogus exams za Tanzania. Ila Sasa tunalishuhudia kwenye nchi yetu.
Uko Arusha Hali sio nzuri, wageni weeengi wame cancel safari za...
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.
Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na...
Hawa jamaa ukiona post zao huko mitandaoni, ni kama vile wanatoa pongezi kinafiki tu.
Walijua piga ua hawawezi kukosekana kwenye baraza la mawaziri jipya.
Sasa wamekula za uso hawaamini...