Uchaguzi fekiHawa jamaa ukiona post zao huko mitandaoni, ni kama vile wanatoa pongezi kinafiki tu.
Walijua piga ua hawawezi kukosekana kwenye baraza la mawaziri jipya.
Sasa wamekula za uso hawaamini kilichotokea.
Naunga mkono hoja.Uchaguzi feki
Viongozi feki
Wote hao ni walewale tuu
Waachane na ujinga waje waongeze nguvu huku.. Kunakaribia kupambazukaNaunga mkono hoja.
Hakuna cha kushabikia hapo. Wote huo ni ujinga tu.