ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 62,246
- 72,497
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.
Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.
Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu
Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani
Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==
My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.
2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 6 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa.
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.
Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.
View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==
Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8