Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

baada ya serikali ya afrika kusini kukumbatia muslims na kutesa Christians, sasa baada ya D.Trump kususia g20 summit wiki ijayo, na xi wa china pia amesema haendi ...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ? Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na...
3 Reactions
6 Replies
260 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
0 Reactions
7 Replies
245 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Leo Novemba 19, 2025 kesi za uhaini zinazowakabili washtakiwa zaidi ya 100 (waliokamatwa kwa nyakati tofauti kuanzia Oktoba 29) zinatarajiwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Vaibu la Wahitimu wa UDSM baada ya DJ Kupiga Wimbo wa Africa For Jesus maarufu kama 'Makombolelo' kwenye ukumbi wa Mlimani City Hall ambapo Mahafali ya 54 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam...
4 Reactions
5 Replies
482 Views
Wakuu, Hii haiitaji hata D2 kuelewa kuwa viongozi wa dini wa kiislamu wengi wametumwa kufanya kutuma mashambulizi haya na si ajabu wameshapokea pesa nyingi kwaajili ya kazi hii. Mtu anakuja...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuwachukulia...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa 6 mchana.Hadi sasa, taarifa rasmi hazijaeleza agenda au kilichokusudiwa kuzungumzwa...
1 Reactions
11 Replies
506 Views
Nyuki wa Mama salam, team #KataaMachawa #KataaUozo2025 na wengine tuendelee kuwakanda hawa mpaka wazinduke kwenye uzombi mzito uliowapumbaza! Wakuu, nimeleta kwenu kumbukizi hii, pamoja na hii...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9...
0 Reactions
26 Replies
613 Views
Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo. Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na...
6 Reactions
16 Replies
431 Views
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo. Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo. Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja...
4 Reactions
12 Replies
337 Views
Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa...
2 Reactions
3 Replies
240 Views
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii...
0 Reactions
4 Replies
360 Views
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Daktari Kibaba Furaha Michael wa Hospitali ya Rufaa ya Geita ametekwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limetoa taarifa kwa umma...
2 Reactions
8 Replies
591 Views
Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika...
0 Reactions
13 Replies
431 Views
Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na...
0 Reactions
5 Replies
279 Views
Back
Top Bottom