Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo, nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM basi waache mara moja kufatilia mikutano ya...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu. Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha...
40 Reactions
36 Replies
5K Views
Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inaeleza matukio ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi kuwa pamoja na kutoa Lugha ya matusi na kashfa pia kutoa kauli zisizoweza kuthibitika. Pia ni kosa kimaadili...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Muda huu watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa jeshi la Polisi kutoka makao makuu, wamezingira ofisi ndogo ya makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo yaliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam kwa...
11 Reactions
24 Replies
6K Views
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui. Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Baba yangu ni mkulima wa alizeti toka miaka ya 1980 kipindi ambacho hakukuwa na barabara za lami kabisa. Toka miaka hiyo kipindi hamna lami mpaka sasa pana lami maisha yake hayana tofauti sana...
52 Reactions
47 Replies
4K Views
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata. Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini. Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT. Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu. Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5...
38 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama kuna kosa la kisiasa ambalo Lissu amelifanya ni kugombea urais mwaka huu,japokuwa ni haki yake ya kikatiba kugombea hiyo nafasi lakini ni kweli kuwa hiyo nafasi tayari inaonyesha amepwaya...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Mgombea Tundu Lisu ni Mtanzania kwa kuzaliwa na kuishi. Wewe Mh. Polepole nawe ni vivyo hivyo. Tutamheshimu yeyote kwa kumwona Mzalendo pale tuu atakapokidhi matarajio yetu kwa vitendo na hata...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Umoja wa Wapigakura Tanzania (UWAKUTA), umewatahadharisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani kutoka vyama vyote vya siasa kuwa ni lazima watii na kuheshimu uamuzi wa wapigakura katika matokeo ya...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Mama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
9 Reactions
91 Replies
10K Views
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa. Watoto ambao walihitaji...
24 Reactions
103 Replies
16K Views
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua...
20 Reactions
94 Replies
9K Views
Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo...
39 Reactions
128 Replies
18K Views
Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa. Mfano watu...
34 Reactions
50 Replies
5K Views
Jana maeneo ya Mabatini jijini Mwanza nilishtuka baada ya kuona wale walinzi maalum walipoanza kugombea maji ya chupa ambayo yalikuja katoni moja na hivyo kutokutosha wote. Hali ile ilinishtua...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Back
Top Bottom