Uchaguzi 2020 Ugumu wa Maisha unaowakabili watanzania ndicho kinampaisha Tundu Lissu

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.

Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative

Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.

Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu

Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
 
Na Siku ya kupiga Kura uende...! Sio unabakia huku mitandaoni hlf baadae unarudi mitandaoni ukilia tumeibiwa..! Hiki ni kibwagizo chetu pendwa . 'TUMEIBIWA'
 
Umenena vyema.
Kanuni za kuendesha nchi duniani ni mbili tu.
1.Usisomeshe namba watu wako, usiwaumize watu wako.
2.Usiguse maslai ya wakubwa wa dunia.

Ukikosea kanuni hizi, utaondolewa kwa njia ya kidemokrasia kupitia sanduku la kura au wakubwa wa dunia watashirikiana na watu wako unaowaumiza watakuondoa kwa njia zingine mbadala. Ndo yaliyofanyika Libya, Iraq, nk.

Ni salama kabisa kutowasomesha namba watu wako kwa kuwaunganisha wawe kitu kimoja ili wakubwa wa dunia wakose pa kuunga nao ili wakutoe madarakani. Hii principal imefanikiwa Irani, China. Kosa kubwa Sana la Gaddafi na Saddam Ni kutowaunganisha watu wao, usipowaunganisha watu wako wataungana na wakubwa wa dunia kukupinga
 
Safari tutalimia kucha tukirudia Tena kosa, na asipotoka October atoki milele, heri ya mateso ya miaka 5 kuliko mateso ya miaka 30
 
Safari tutalimia kucha tukirudia Tena kosa, na asipotoka October atoki milele, heri ya mateso ya miaka 5 kuliko mateso ya miaka 30.kama tu amehaidi wasiomchagua yaani mkichagua wapinzani atawashughulikia vipi akirudi Tena si ndo tutapigwa risasi usiku na mchana
 
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.

Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative

Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.

Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu

Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Hata Kkoo ambapo watu walikuwa wanaingiza pesa kwa wingi napo raia zinalia, biashara haziendi kama zamani.

Halafu linakuja jitu linakwambia uchumi wa kati nye nyeee nyeee nyeee
 
Nililima mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi. 2015 niliuza wastani wa mahindi 500 hadi 700 kwa siku.2016 niliuza mahindi 70 tu kwa siku. Nilijiuliza kwa nini nikagundua watu walipunguza kula mahindi ya kuchoma kutokana na ukata.
Vivo hivo kwa matunda kama tikiti na nanasi.
Shughuli nyingi zimekabiliwa na changamoto. Ujue hata nyongeza ya mshahara humfanya mtu abadili mlo hata kwa mwezi mara moja.
Sasa wengine watasema wanaoona maisha magumu walikuwa mafisadi. Mkulima wa tikiti anayepata shida ya soko utamwitaje fisadi.
Pengine hii ndiyo sababu watu wanakataa hizi kejeli.
Kijinga, tunamshambulia anayeungwa mkono badala
ya kujibu matatizo ya wenye shida.
Wanamwita mwongo, wakala wa mabeberu nk. Lakini watu wanamkimbilia tena kwa furaha. Jiulize kwa nini wanamfuata!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
kiukweli kabisa hata wale vijana waliokuwa makada ninaowajua mimi kipindi kile cha kampeni 2015 sasa ivi hawaitaji tena siasa za Magu kuzisikia,Mpaka hapo icho ndicho kinachompa nguvu Lissu wananchi kutaka kumsikia
 
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.

Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative

Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.

Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu

Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Ugumu ulikuwepo, lakini umekuwa agrivated na Jiwe!
 
Nililima mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi. 2015 niliuza wastani wa mahindi 500 hadi 700 kwa siku.2016 niliuza mahindi 70 tu kwa siku. Nilijiuliza kwa nini nikagundua watu walipunguza kula mahindi ya kuchoma kutokana na ukata.
Vivo hivo kwa matunda kama tikiti na nanasi.
Shughuli nyingi zimekabiliwa na changamoto. Ujue hata nyongeza ya mshahara humfanya mtu abadili mlo hata kwa mwezi mara moja.
Sasa wengine watasema wanaoona maisha magumu walikuwa mafisadi. Mkulima wa tikiti anayepata shida ya soko utamwitaje fisadi.
Pengine hii ndiyo sababu watu wanakataa hizi kejeli.
Kijinga, tunamshambulia anayeungwa mkono badala
ya kujibu matatizo ya wenye shida.
Wanamwita mwongo, wakala wa mabeberu nk. Lakini watu wanamkimbilia tena kwa furaha. Jiulize kwa nini wanamfuata!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hahaha ungemuuzia Magufuli anayala sana huku barabarani
 
Back
Top Bottom