Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Donald Trump kasema wabunge Hawa waliotoa maoni haya wanastahili kunyongwa. Jee ingekuwa Tanzania ingekuwaje?
0 Reactions
2 Replies
137 Views
Watanzania gari limeshakata breki, pisheni njia. Derereva hana uwezo tena wa kulidhibiti. Pona yake atafute namna ya kujirusha nje kutokea dirishani, ila aking’ang’ania kulazimisha kulidhibiti...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Oyaa hawa jamaa siwaelewi wanalinda nini: kuna ulinzi wachungaji tumeambiwa tukachungie mbali
5 Reactions
28 Replies
953 Views
Ni kweli kwamba propaganda haziepukiki katika jamii yoyote yenye mijadala, misuguano ya kiitikadi, au mazingira ya kisiasa yaliyochangamka. Hata hivyo, changamoto kubwa si uwepo wake, bali namna...
0 Reactions
3 Replies
171 Views
Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
1 Reactions
11 Replies
315 Views
Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika. Chunguza utanielewa!!
1 Reactions
8 Replies
268 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi? Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia. Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa...
7 Reactions
13 Replies
690 Views
Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania watekaji na wauwaji na ndio wasio julikana. Kinapaswa kutambuliwa kama kikundi cha kigaidi Africa na sio chombo cha usalama.
0 Reactions
11 Replies
449 Views
Tangu internet imeachiwa sijapata hisia za mwanamke kabisa yani Kila nikiona hizo videos mtandaoni watu wamekufa kama mbuzi yan Sikudhani kama ingefika siku watanzania tukafanyiana vitendo vya...
2 Reactions
7 Replies
354 Views
Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa...
12 Reactions
20 Replies
713 Views
1. Saddam Hussein vs. Gaddafi vs. Tanzania’s President FactorSaddam HusseinMuammar GaddafiSamia Suluhu Hassan (Tanzania) Country SituationIraq invaded by U.S./coalition; regime overthrownLibya...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika...
42 Reactions
101 Replies
4K Views
Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi. Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025...
1 Reactions
1 Replies
215 Views
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo...
10 Reactions
15 Replies
617 Views
Wakuu Hii issue ishakuwa serious -------------------------- Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga...
22 Reactions
65 Replies
3K Views
Viongozi wa Afrika mtindiko wao wa ubongo ni ule ule wa madaraka ya kulevya, Kaguka kipindi iko anaongea kwanini tuuane kuhusu madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda fupi na wakati...
0 Reactions
2 Replies
187 Views
Ila kutiki! 😀😀😀😁 Asubuhi ya October 29 nimeamka zangu nikawa na kiherehere mwenzenu, nikakimbilia kituo cha kupigia kura! Wakati huo basi mambo shwari, nikawa najibaraguza pale napiga stori na...
15 Reactions
26 Replies
794 Views
Back
Top Bottom