Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa...
0 Reactions
4 Replies
300 Views
Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake =====================...
16 Reactions
105 Replies
4K Views
Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Shura ya Maimamu na Viongozi wa taasisi za Kiislamu Mkoani Arusha imetoa tamko la kulaani machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kutaka hatua madhubuti zichukuliwe ili kurejesha na kulinda...
2 Reactions
30 Replies
845 Views
Kutoka Ubungo -Chai bora, jijini Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo chini ya Askofu Dkt. Josephat Gwajima, Jambo TV imepita na kushuhudia baadhi ya waumini wa...
1 Reactions
10 Replies
568 Views
Vijana walioshtakiwa kwa uhaini ni wajasiri na mashujaa kikosi cha kazi maandamano hayawezi kuwa kosa la uhaini kesi hizi zinamchafua samia zaidi anazima moto kwa kuuwasha zaidi akijua anazima...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu...
32 Reactions
72 Replies
3K Views
Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania...
4 Reactions
24 Replies
733 Views
Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni...
3 Reactions
3 Replies
243 Views
Ukiacha hii Propaganda za watu wanalipwa kuaribu amani ya nchi ni propaganda ambayo sasa imezoleka kwa wananchi ambayo utumiwa na viongozi ukwepa kuwajibika au kuwajibishwa kwenye makosa yao...
3 Reactions
11 Replies
484 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Sherehe za Uhuru za Desemba 9 kwa mwaka huu zisiwepo na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho hayo, zitumike...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 inatarajiwa kuendelea leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo...
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye...
1 Reactions
2 Replies
301 Views
Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025 kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi wa...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Utekaji na kupoteza watu, haijawahi kuwa suluhu ya matatizo kwa wananchi na eti kwamba mafisadi waishi kwa amani zaidi sana huzua taharuki kwa wananchi na kuichukia serikali yao Viongozi wetu...
1 Reactions
3 Replies
181 Views
Miye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Hamjambo Wote! 1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote. 2. Huenda jambo hilo...
2 Reactions
8 Replies
338 Views
Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima...
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Kiukweli yaliyotokea kwenye utawala wa Rais Magufuli Hasa ya VIFO vya matajiri wengi wa Tanzania akiwemo na yeye ilikuwa ni inshara tosha Mungu halupendezwa na uongozi wake. BINAFSI nasema...
3 Reactions
20 Replies
561 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025, kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi wa...
0 Reactions
8 Replies
457 Views
Back
Top Bottom