PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,739
Reaction score
6,776
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome.

Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi.

Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu, na walio chini wamfuate aliyewasimika ili wapate maelekezo.
 
🚨 BREAKING: Bunge la Ulaya limepitisha AZIMIO kali sana dhidi ya serikali ya Tanzania (27 Nov 2025)

🔨Linakemea mauaji ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, makaburi ya HALAIKI na VIBURI vya jeshi lapolisi.

🔨Linamtaja moja kwa moja Tundu Lissu na kulaani kesi yake ya uhaini (Kesi ya MCHONGO).

🔨Linaitaja serikali kusitisha ukandamizaji na kumwachia Tundu Lissu MARA MOJA.

🔨Linadai uchunguzi wa kimataifa unahitajika.

🔨Linaagiza EU (Umoja wa ULAYA) kusitisha misaada ya moja kwa moja kwa serikali na kufikiria kuweka vikwazo dhidi ya serikali ya TANZANIA.

Hii si azimio la kawaida — ni pigo kubwa sana kwa serikali.

Kesho MAAZIMIO HAYA YANAPIGIWA KURA KUPITISHWA NA KUWA MSIMAMO RASMI WA UMOJA WA ULAYA.🙌🏿

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
 
Back
Top Bottom