Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchunguzi anayekuja kuchunguza Tanzania sio mashirika ya kimataifa wala nani bali ni ICC pekee huyu atachunguza mpaka hiyo tume ya uchunguzi ya Samia Huyu mchunguzi na yeye anakuja na satellite...
3 Reactions
2 Replies
239 Views
Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania...
6 Reactions
15 Replies
739 Views
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa. Kosa la karne...
4 Reactions
6 Replies
387 Views
Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya. 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa...
2 Reactions
0 Replies
278 Views
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea. Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa. Jiandae tena Dec 9 .
5 Reactions
14 Replies
577 Views
Ukiwasikiliza uzuri genge la CCM utagundua kuwa wamechanganyikiwa kiasi cha kujichanganya na kuchanganyana wakidhani watatuchanganya. Eti wanaoionya CNN kwa kufanya kazi yake uzuri...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa...
4 Reactions
4 Replies
316 Views
Viongozi wana tabia ya kutaengeza tatizo na kuja kujifanya wamelitatua wakati ndo watengezaji wa tatizo...
8 Reactions
10 Replies
393 Views
SALIM SALIM SOUNDS OFF ON ELECTIONS, POLITICAL MACHINATIONS, PROSPECTS FORVIOLENCE IN ZANZIBAR Date:2005 May 17, 13:28 (Tuesday) Original Classification: CONFIDENTIAL Classified by Charge...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za...
4 Reactions
8 Replies
551 Views
Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!. Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!. Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena ...
11 Reactions
15 Replies
524 Views
Unaposema nchi zinatuonea wivu ndio maana zinachochea fujo unakua unatuona hatuna akili au? Malalamiko ya watanzania yanajulikana Hawataki utekaji, hawataki ufisadi na kufuja hovyo mali za umma...
2 Reactions
6 Replies
160 Views
Dini itakua Haina maana kabisa kabisa ikiwa Dini itakubali haya maneno ya ajabu ajabu ! Rais anataka Taasisi ya Dini iwe kama BUNGE LA CCM , Wazee wa Ndiooooooo , Ndiooooooooo ,mitanooo tenaaa...
19 Reactions
67 Replies
3K Views
Kiongozi akitoa Rushwa za ujenzi, kukamilisha Makanisa yenu, Muikatae waziwazi . Mlipiga kelele, kuhusu Bandari, mkapiga kelele kuhusu Ngorongoro, mnapiga kelele kuhusu Uchaguzi, huko kote...
6 Reactions
22 Replies
998 Views
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali...
6 Reactions
14 Replies
349 Views
HOTUBA KWA TAIFA KUHUSU MUSTAKABALI WA TANZANIA NA UCHAGUZI WA BUSARA YA KIHISTORIA Hotuba kwa Taifa, vyombo vya Habari na wananchi ndani na nje ya Nchi. Ndugu wananchi, Watanzania wenzangu, Na...
3 Reactions
8 Replies
474 Views
Back
Top Bottom