PostGE2025 Paul Kimiti: Ukitenda haki amani itakuwepo utake usitake!

PostGE2025 Paul Kimiti: Ukitenda haki amani itakuwepo utake usitake!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio vile vya kufikiria tu, kutaka kupata gari kupata nini... hapana, ni mahitaji ya msingi, mahitaji ya binadamu- apate chakula apate elimu apate afya apate...ndio vitu msingi hivyo, akivikosa hivyo anaona ah mimi sifai hata kuishi katika ulimwengu huu",- Kimiti.

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Paul Kimiti akizungumza Desemba 01, 2025 kupitia kipindi cha Dakika 45 cha ITV.
 
Back
Top Bottom