PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,969
Reaction score
24,868
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
 
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zeenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
Ni mtu wa Mtandao.

Kundi la kina Kikwete, Lowassa, Mwizi Rostam.

Wanapeana tu.
 
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zeenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
Anaitwa FRT. EMMANUEL NCHIMBI
 
Huenda sasa hivi anaomba kimoyomoyo ili jambo litokee!
 
Back
Top Bottom