Desemba 2, 2025 – Dar es Salaam
Katika ukumbi mkubwa wa Julius Nyerere International Convention Centre, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikutana na wazee wa Dar...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema serikali yake si ya kuamrishwa wala kuyumbishwa...
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili...
Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura.
Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli...
Nimeshangazwa sana na jambo hili. Mimi nilitegemea Samia angetumia wakati huu kulipooza taifa linalopitia wakati mgumu wenye uchungu mkubwa kwa kupoteza vijana maelfu kwa maelfu, lakini cha ajabu...
Nimeota Kesho tarehe 02 December 2025 Kuna Kiongozi wa ngazi ya juu atatoa tamko Mh
Tundu Antipas Lissu Aachiliwe Mara Moja pamoja na Polisi kuambiwa Polisi waache Kuteka na Kuua watu.
Hii yote...
Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu...
Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika...
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.
Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi...
Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia.
Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi...
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake.
Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa...
Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam.
Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu...
Hamjambo!
1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.
2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles...
Nimeangalia na kusilliza hotuba mbovu, ya mipasho, ubabe na ukosefu wa busara ya rais leo. Nimesikitikaka. Nimekwazika, nimchukizwa, na kuhuzunishwa namna Idi Amin Mama alivyoipoteza fursa ya...
Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao,
Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu...
Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq.
Sijui...
Uongozi wa taifa ni dhamana kubwa inayohitaji busara, utulivu na uwezo wa kutafakari kabla ya kutenda. Miongoni mwa sifa muhimu za kiongozi mkuu wa nchi ni uwezo wa kujizuia na kutodhihirisha...
Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu.
Kwa...