Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema serikali yake si ya kuamrishwa wala kuyumbishwa
"Nimepata salamu wanasema tutakubali tu kukaa na serikali ikiwa watafanya moja, watafanya mbili, watafanya tatu. Serikali hii si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo"- Amesema Rais Samia