Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭!
Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
(Hapa ndipo tunachana pazia - tunamuona Nyerere akiwasha moto, na mfumo ukiukanyaga kwa mguu wa chuma.)
JKT Awali Ilikuwa KIUMBE Hai - Taasisi, Sio Kambi.
JKT ya mwalimu Nyerere haikuwahi...
Mapema Novemba 19, 2025, mmoja wa wahadhiri wa dini ya Kiislamu (Sheikh) alitoa kauli kali akisema kwamba kuelekea maandamano ya Desemba, “watakaoandamana tutawakata vichwa.”
Hata hivyo, hapo...
Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano.
Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano.
Kama amekusudia...
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga...
Mwanasheria mkuu wa serikali HARAMU alisema wazi watatafuta kesi ambazo zinaweza kumpata MANGE KIMAMBI KUTOKA MAREKANI.
Wameipata Kesi ya UCHUMI hii wanaamini inatosha sana kuwashawishi Marekani...
Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au...
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika...
Alichokisema Padri Kitima kuhusu Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza athari za maanadamano ya Oktoba 29
"Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na...
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele...
Salam
Pamoja na mazuri yake lakini Nyerere alitengeneza kitu kinaitwa systematic stupidity (upumbavu wa kimfumo) ndio inachotesa nchi mpaka leo.
Systematic stupidity in political leadership...
Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao
Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na...
Yote yanayo tokea sasa hivi ni sababu ya CCM na lawama zote sio apewe Samia Hassan suluhu. CCM ilitengeneza mifumo ya ovyo ambayo kila mtu akiwa kiongozi anajiona kashamaliza kila kitu, mtu akiwa...
Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025...
Mchawi ni wewe na timu yako
Haiwezekani uwaletee wawekezaji watanzania kibabe kama ilivyokuwa kwa DP World
Haiwezekani mzuie upinzani nchini kufanya siasa mkategemea inshallah
Haiwezekani pawepo...
Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi...
Licha ya nchi yetu kuwa tegemezi na ombaomba, vitu vingi tunaagiza kutoka nje zikiwemo nchi za Ulaya na Marekani.
Sasa najiuliza, na hawa mabwana nao wakiamua kutunisha misulu kwa kupiga...
Huwa navutiwa sana na Kauli za Maamiri Wajeshi Wakuu (Marais) duniani hasa za Rais Paul Kagame wa Rwanda, Vladmir Putin wa Urusi, Yoweri Museveni wa Uganda, yule wa Korea ya Kaskazini na ya...