Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.
In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu...
Kila mtu ahakumiwe Kwa makosa yake sio Kwa sababu ni Mtanganyika au mzanzibar
Kila mtu apimwe uwezo wake wa uongozi sio kwa jinsia ya kike Wala kiume
Hii tabia inawapa maadui wa haki na...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uzalendo.kila Mmoja kwa nafasi yake,muda wake,sababu yake na mahali pake amejaribu/wamejaribu kujipambanua kuwa wazalendo.
Kwa tafsiri ya haraka isiyo rasmi...
sitaki kuamini amekubali mwenyewe akutwe na haya
Mama alianza vizuri sana akiwa na msimamo wake mwenyewe na huku akichuja Kwa umakini ushauri ,
Miaka michache ingetosha kuweka historia yake...
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana...
GT
Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu.
Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai...
Wakati Mugabe anatwaa Mashamba kwa ya Wazungu na Mabeberu wakawa wana mkosoa Mgabe, naye alikuwa anatafuta sifa kwa wanachama wa ZANUPF yake alikuwa anawahutubia na kuwaambia wale hawawezi...
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za...
Samia’s Alternate Reality Vs Documented Massacre
Why her “paid protester” story collapses under basic facts
Tanzanian president Samia Suluhu Hassan has now gone on record defending police who...
Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
Sabato Njema!
Kimsingi huwezi kushindana na serikali/Dola ukashinda. Utaishia kuumia tuu. Hakunaga kitu kinaitwa nguvu ya Umma! Nguvu ya umma ni illusion tuu.
Mbinu ya kushinda Dola ni mbili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu...
Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭!
Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
(Hapa ndipo tunachana pazia - tunamuona Nyerere akiwasha moto, na mfumo ukiukanyaga kwa mguu wa chuma.)
JKT Awali Ilikuwa KIUMBE Hai - Taasisi, Sio Kambi.
JKT ya mwalimu Nyerere haikuwahi...
Mapema Novemba 19, 2025, mmoja wa wahadhiri wa dini ya Kiislamu (Sheikh) alitoa kauli kali akisema kwamba kuelekea maandamano ya Desemba, “watakaoandamana tutawakata vichwa.”
Hata hivyo, hapo...
Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano.
Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano.
Kama amekusudia...
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga...