curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,106 Reaction score 2,627 Dec 3, 2025 #1 Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa. Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu. Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa. Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu. Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,656 Reaction score 21,458 Dec 3, 2025 #2 Mipasho... muimba taarabu kiburi
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,560 Reaction score 3,111 Dec 3, 2025 #3 Mipasho band. Ndiyo maana kazungukwa na machawa. Kwakuwa alimsaidia, alitaka Lissu aimbe mapambio. Lakini kakutana na kisiki cha mpingo.
Mipasho band. Ndiyo maana kazungukwa na machawa. Kwakuwa alimsaidia, alitaka Lissu aimbe mapambio. Lakini kakutana na kisiki cha mpingo.