Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Onyo na matishio vya jeshi la Polisi linashangaza., kuhuzunisha hata kutia shaka mbali na kukera, Naona kama wanahaha na kutisha jambo ambalo linazidi kupandisha Watanganyika hasira. Wamegoma...
1 Reactions
0 Replies
134 Views
Kuna watu hawapendi kuona mjadala wa dini unakufa! Kila ukifa wao wanaufufua na hii ni dalili kwamba watu wako na lao jambo na hawaamini kuwa vijana wa kizazi hiki hayo sio mambo yao isipokuwa...
2 Reactions
2 Replies
198 Views
Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani...
2 Reactions
1 Replies
185 Views
Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu...
6 Reactions
10 Replies
439 Views
Moja ya jambo lililomuumiza Hayati Mkapa kwa mujibu wa kitabu chake cha My Life, My Purpose, ni MAUAJI yaliyotokea Mwembe Chai wakati ule akisaka MADARAKA Hii dhambi kikatoliki tunasema alitakiwa...
2 Reactions
4 Replies
170 Views
Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza...
3 Reactions
57 Replies
946 Views
Kama kuna Watu ambao unatakiwa kuwa nao makini sana ni Marekani kwani ni Vigeugeu na hawashindwi Kukuuza!!!
3 Reactions
53 Replies
1K Views
Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu...
2 Reactions
7 Replies
251 Views
Yani serikali yako iteke,iue watu hovyo. Chama chako kiibe uchaguzi kupitia vyombo vya dola ambavyo vipo compromised. Maisha yaendelee kuwa magumu huku ninyi mkipeana vyeo kupitia nepotism...
6 Reactions
5 Replies
180 Views
DeletedMember281674
Nimeota Akijiuzulu Nafasi yake na wadhifa wake akikaa pembeni
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Nimesikia polisi wanasema waandamanaji wanaandamani minara Niseme ukweli watanzania hawadai minara wala maandamano hayahuusiani na minara ukisikiona minara imeharibiwa ujue polisi ndio wameharibu...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika! Wakati nyie...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Mussa Ndile CHEO: Kiongozi wa machinga Simu 2000 Alitekwa tarehe 27.11.2025 na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi, ndugu wamemtafuta vituo vote vya Polisi hawajampata.
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisiπŸ€”πŸ€”πŸ˜€πŸ˜€ Fumbo mfumbie mjinga lakini...
3 Reactions
9 Replies
603 Views
π—©π—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺπ—”π—•π—¨π—‘π—œπ—™π—¨ π—‘π——π—œπ—¬π—’ π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ 𝗛𝗔𝗧𝗠𝗔 𝗬𝗔 π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” - π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la uchumi wa kati wa dola za Marekani...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
"Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa...
1 Reactions
6 Replies
278 Views
Kichekesho cha Mwaka Maskini wanalinda kwa nguvu zote dola illio madarakani lakini kulinda mali asili zisiuzwe na hao hao walio madarakani walaa
2 Reactions
2 Replies
120 Views
Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
1 Reactions
4 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…