jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,469
- 43,439
Yani serikali yako iteke,iue watu hovyo.
Chama chako kiibe uchaguzi kupitia vyombo vya dola ambavyo vipo compromised.
Maisha yaendelee kuwa magumu huku ninyi mkipeana vyeo kupitia nepotism.
Halafu watu au taasisi zikiyasema hayo mnachukia,hivi ninyi ni wenda wazimu?
Hell no,hii haikubaliki hata kidogo.