Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gen- Z wa Uganda wanapaswa kuandamana siku ya kura kumtoa M7 Tunapaswa kuwasapoti Waganda ndugu zangu!!. Huu utamaduni wa October 29 ulikua nzuri sana na hofu kuu kwa madikteta. Ushauri kwa Gen...
2 Reactions
9 Replies
412 Views
Naendelea KUSISITIZA tatizo ni uwezo wa mtu sio udini . Miaka minne ilitosha kabisa aondoke akakae na Mumewe na wajukuu zake akifurahia pensesheni ya urais Kwa Kodi zetu . HUtuna chuki naye kama...
2 Reactions
3 Replies
249 Views
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an...
0 Reactions
5 Replies
324 Views
Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza. 1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye...
1 Reactions
4 Replies
201 Views
Kanisa Katoliki lina uzoefu wa miaka 2025 kupambana na watawala wakorofi wasiopenda haki. Mnachopaswa kuelewa wafuasi wa Kanisa la askofu Gwajima ni kwamba hamtashinda vita vyenu na watawala kwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu ! Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua...
41 Reactions
103 Replies
6K Views
Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Wakazi wa Kata ya Ihahi, Wilaya ya Mbarali, wameishukuru Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa hatua ya kujenga miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji kupitisha maji...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Haya mambo ya Women first ndo sababu ya Samia Suluhu kutufokea. Walisema tuwawezeshe. Lakini baada ya kuwawezesha wametugeuka. Wanatubananga na kutubalagaza. Ni wakati wa wanaume kujitambua na...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo...
1 Reactions
13 Replies
508 Views
Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za...
0 Reactions
3 Replies
235 Views
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao? Wasalaam Wakuu! Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala...
87 Reactions
203 Replies
10K Views
Mashabiki wa muziki nchini Kenya wameonyesha msimamo mkali dhidi ya nyimbo za msanii wa Tanzania, Mbosso, wakidai msimamo wake wa kisiasa hauendani na hisia zao. Tukio hili lilijitokeza wazi...
2 Reactions
12 Replies
571 Views
Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana...
2 Reactions
6 Replies
328 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi. Amesema wananchi...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
“Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
0 Reactions
7 Replies
395 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…