Haeleweki!.... Ameseme Tanzania ni nchi democratic wakati anamshikiria Pole Pole, Tundu Lissu na Mdude kwa uhaini.
Anasema Serekali inaendeshwa kwa kufuata Sheria na Katiba wwkati yeye mwenyewe ndio mvunja katiba mkuu, hivi si yeye aliyesema katiba ni kijitabu tu? 😲