Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua...
41 Reactions
103 Replies
6K Views
Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Wakazi wa Kata ya Ihahi, Wilaya ya Mbarali, wameishukuru Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa hatua ya kujenga miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji kupitisha maji...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Haya mambo ya Women first ndo sababu ya Samia Suluhu kutufokea. Walisema tuwawezeshe. Lakini baada ya kuwawezesha wametugeuka. Wanatubananga na kutubalagaza. Ni wakati wa wanaume kujitambua na...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo...
1 Reactions
13 Replies
508 Views
Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za...
0 Reactions
3 Replies
235 Views
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao? Wasalaam Wakuu! Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala...
87 Reactions
203 Replies
10K Views
Mashabiki wa muziki nchini Kenya wameonyesha msimamo mkali dhidi ya nyimbo za msanii wa Tanzania, Mbosso, wakidai msimamo wake wa kisiasa hauendani na hisia zao. Tukio hili lilijitokeza wazi...
2 Reactions
12 Replies
571 Views
Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana...
2 Reactions
6 Replies
328 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi. Amesema wananchi...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
“Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
0 Reactions
7 Replies
395 Views
HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Who are you uwafungie wapinzani ndani angali wewe unafanya kampeni? Who are you ufanye uchaguzi mbovu na kuwalazimisha watu wakubali matokeo? Who are you uuwe vijana wetu na uwalaumu wazazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange. Manage hupendelea kusema "... Mafy...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba...
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Mkuu haramu wa serikali ameonesha NIA, DHAMIRA na SABABU za kuitumia serikali kupambana na raia. UWEZO anaoutumia ni kodi za hao hao anaopambana nao. Kibaya zaidi ni kwamba anasaidiwa na raia...
4 Reactions
6 Replies
268 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…