Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za...
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na...
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
Pia Soma:
Baraza la Maaskofu...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;
"Meta...
Na. M. M. Mwanakijiji
Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan...
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na...
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.
WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni...
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani.
Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa...
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha...
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,
Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na...
Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine.
Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu...
Tanzania huenda ikaanza kufikiria kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma unaoiunda Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Mjadala huu umechochewa zaidi na wito uliotolewa hivi karibuni kwa...
Mpaka sasa watu wana ushahidi wa kila kitu kinachofanywa na Serikali yake.
Kuanzia kuteka watu na kukana, kuuwa watu na kukana, kupoteza watu na kukana hadi kuwafungulia mashtaka ya uongo ili...
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi.
TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu.
Mfano Dp World kupewa usimamizi wa...
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.
Usichokijua ni kwamba...
===============================
Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema;
"....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini...
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake...
Salaam!
Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.
Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.
Move background ni...
Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za dawa za kulevya...
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba...